Unapaswa upime mara ngapi kuthibitisha majibu ya UKIMWI?

Kabisa hiyo ni positive atumie Pep kwa usahihi tuone itakuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mistari wa positive na inayotokea nje ya muda ni tofauti kabisa inajulikana bila kupepesa macho.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisoma baada ya dk zaid ya 20 mara nyingi husoma positive ila kama mfuatiliaji mzuri mstari wa positive na hiyo inayotokea baada ya dk 20 ni tofauti kabisa kama huo wa mtoa mada ni positive haina ubishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe inakua tofauti,hapo ndo wengi hatuelewi huku kujipima kienyej bila ujuzi ni hatari bas.

Pole kwa mtoa mada ila bora ameanza PEP mapema,atakua sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilianza jana ilikua imepita masaa 29 toka nimekutana nae. Sijui like hood ikoje ila niliamua kuanza kabla ya majibu ya pili ya unigold.
Unafanya unigold kama uko positive tu...kama uko negative na uko exposed unameza PEP tu..
Na kwa case yako umemeza baada ya masaa 29 outcome yake itakuwa nzuri tu..

Halafu kupata HIV sio easy hivyo labda kama ulikamia show ukapiga bao za mwendo kasi
 
Unafanya unigold kama uko positive tu...kama uko negative na uko exposed unameza PEP tu..
Na kwa case yako umemeza baada ya masaa 29 outcome yake itakuwa nzuri tu..

Halafu kupata HIV sio easy hivyo labda kama ulikamia show ukapiga bao za mwendo kasi
Sikukamia show, nina kawaida ya kutumia maji kulainisha ili kupunguza mchubuko, nikifanya na demu simuelewi hua najikondition kukojoa ndani ya dakika moja. Na ndivyo nilifanya goli la kwanza, goli la pili ni kama nililiunganisha na k ilikua imelowana sana sababu ya shahawa nilizokojoa ndani kwa goli la kwanza, so niliingiza tu bila shida na kukojoa fasta.

Sema nikataka niwe na uhakika wa afya yake ili niwe nasimamia show ya maana ndio nikamuomba nimpime, majibu yake yakawa hayo, nikakimbia hospitali faster jana na kuanza pep.
 
Maelezo mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nadhani yote yanawezekana tu mqana kama muda wa kuonyesha majibu ya uadhirika ulikuwa haujafika basi hiyo siku ya mwisho kupima ndio hasaa pengine toka alipokutana na mtu huko alikotoka aliambukizwa hivyo mlipo pima nyie huko hotelini ule muda wa kuonekana vidudu ul8kuwa haujafika, hivyo mlipo pima tena kwa dokta ndio ule muda ulikuwa umesha fika ndio maana majibu yakaja hivyo,

Kama unavyo jua kwamba unaweza kupata virus leo na kesho ukqpima visionekane ,

Nakushauri anza pep mapema iwezeoanavyo
 
Basi usiwaze mkuu.
Endelea kumeza hizo PEP hata kama kuna ugumu na watu wengi wanaacha kumeza..
Lakini jitahidi umalize dozi.. maana kama kweli uko exposed usipomeza utakuja kumeza maisha yako yote
 
Basi usiwaze mkuu.
Endelea kumeza hizo PEP hata kama kuna ugumu na watu wengi wanaacha kumeza..
Lakini jitahidi umalize dozi.. maana kama kweli uko exposed usipomeza utakuja kumeza maisha yako yote
Mkuu leo nampeleka muhisika kupima unigold, je akikuta ni negative natakiwa kuacha pep? Kuna madhara naweza kupata ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…