John Wanyika
Member
- Dec 9, 2019
- 59
- 291
Kama akikutwa ni negative hapo maana yake kuna kosa mahali... huwa hii inaitwa inconclusive.. inatakiwa mchakato wa kupimwa uanze upya.. mtaanza tena kupima kwa rapid test akiwa negative unamaana hana HIV na wewe utaacha kutumia PEP..Mkuu leo nampeleka muhisika kupima unigold, je akikuta ni negative natakiwa kuacha pep? Kuna madhara naweza kupata ?
niulize hapa kidogo, mstari wa positive huanza kuonekana baada ya muda gani tangu kupimaUkisoma baada ya dk zaid ya 20 mara nyingi husoma positive ila kama mfuatiliaji mzuri mstari wa positive na hiyo inayotokea baada ya dk 20 ni tofauti kabisa kama huo wa mtoa mada ni positive haina ubishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
niulize hapa kidogo, mstari wa positive huanza kuonekana baada ya muda gani tangu kupima
nauliza kwa kuwa huwa naona ule wa kwanza dk 0 unatokea huu wa 2 wa kuoesha (ve+) huwa unakuja/anza kutokea kwa muda gani (wastani) 5_10_15
Sikukamia show, nina kawaida ya kutumia maji kulainisha ili kupunguza mchubuko, nikifanya na demu simuelewi hua najikondition kukojoa ndani ya dakika moja. Na ndivyo nilifanya goli la kwanza, goli la pili ni kama nililiunganisha na k ilikua imelowana sana sababu ya shahawa nilizokojoa ndani kwa goli la kwanza, so niliingiza tu bila shida na kukojoa fasta.
Sema nikataka niwe na uhakika wa afya yake ili niwe nasimamia show ya maana ndio nikamuomba nimpime, majibu yake yakawa hayo, nikakimbia hospitali faster jana na kuanza pep.
Mzee nimepagawa. Dokta nae kaniambia uwezekano wa kupata ukimwi kwa sex hua ni mdogo hadi kua na michubuko mingi. Akanihakikishia kua niko salama tu.Hauna ngoma, sema una wasi wasi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapana.Ulisabisha michubuko???
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu leo nampeleka muhisika kupima unigold, je akikuta ni negative natakiwa kuacha pep? Kuna madhara naweza kupata ?
Mkuu mimi haijasoma postive, ilisoma negative, unigold ni kwa ambae amesoma postive lkaini anahitaji kuhakikisha.Pole mkuu... hebu fanya unigold huku ukiendelea na dozi.
Ni kweli mkuu.Hakimu Mfawidhi, Hapo kama alipima juzi au hata jana ila kama wewe hukuwepo kudhibitisha hilo basi usiamini maneno matupu hapo ni 50/50 wewe chukulia kama hajapima kabisa na hiyo ulio mpima wewe ndio iwe moja, watu wakishaona wamekosea ndio huanza kutafuta visinzizio vywa juzi na jana nilipima,
Masada hapo tafadhali,
PEP ni nini?
Unigold ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu.
Pep inaitwa post-exposure prophylaxis, ni dawa unaoewa kumeza baada ya kua umehisi au una uhakika kua mwili wako umekutana na maambuziki ya ukimwi kwa ngono au damu au sindano au njia yotote hivyo unapewa dawa kuzuia hizo virus wasiingie mwilini kuanza kuzaliana na kushambulia kinga za mwili. Kwa ujumla ni tiba ya kuzuia maambuziki ya virusi vya ukimwi. Inatakiwa ianze kutumiwa ndani ya masaa 72 toka umekutana na hiyo hali ndio unakua na nafasi kubwa zaidi ya kuzuia.
Unigold ni kipimo cha ukimwi bora zaidi ya hivi vidogo tunavyotumia vinavyouzwa maduka ya madawa. Ukipima na kile kidude majibu yakawa positive, unatakiwa kuthibitisha na unigold, unigold ikiwa positive pia basi hapo una ukimwi 100%. Ila kama kale kamesoma positive na unigold ikasoma negative inabidi vipimo vianze upya. So unigold ni kipimo cha kuthibitisha tu. Mtu haanzi dawa za arv kama hajapimwa kwenye unigold.
Mengine wataeleza wataalamu wa mambo ya afya.
Nadhani kuna kingine kinaitwa elisa, kingine dna pcr kwa ufahamu wanguRAPID imesoma positive,UNIGOLD ikasoma negative, kipimo kinachofuata kinaitwaje? na je majibu ya kipimo cha.mwisho ni uhakika wa % ngapi?
Avatar yako inaonyesha unapenda sana ngono....... Mungu kakukumbusha tu hatari iliyo mbele yakoNadhani kuna kingine kinaitwa elisa, kingine dna pcr kwa ufahamu wangu
Unachanganya kuwa mitatu au miwili haihusiani na muda, unaweza kupima pia baada ya dk 10 ikasoma yote mitatu na jibu hapo Ni +ve
Mkuu tuache kukariri kuwa ngoma inapita kwenye michubuko tu. No haiko hivyo. Kwenye viungo vyetu vya uzazi Kuna kitu kinaitwa mucus membrane, hii Ni njia nyingine ambayo virusi hupita during sex.Ulisabisha michubuko???
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna elizer test na RNA testRAPID imesoma positive,UNIGOLD ikasoma negative, kipimo kinachofuata kinaitwaje? na je majibu ya kipimo cha.mwisho ni uhakika wa % ngapi?
hahahaha hivi vipimo vitakuja kutuua kwa presha, kama kimebaki muda mchache kuisha muda wake kinasoma ve+ kama hakina akili nzuri (uchunguzi wangu) ukisoma nje ya muda hakikawii kuweka mistari mi 3Hivi vipimo sijui vikoje. Mdogo wangu kanipigia simu analia muhamasishaji kampima majibu yametoka + Ve.
Nikaenda fasta nilipofika tuu ananisisitizia sasa kesho tunaenda kuanza dozi Siyo. Nikamwambia subirii twende hospitali tukathibitishe.
Kesho yake kwa hatua za minyato mpk hospitali, nikaona dawati la uelimishaji nikajieleza vizuri. Yule dada akasema ngoja tuthibitishe kabla hatujamuanzishia dozi.
Huwezi amini alipima pale hospitali Hadi kile kipimo Cha umbo la kopa majibu yalitoka -Ve.
Dogo alilowa jasho mpk viatu alivikung'uta hakuamini.
Hivi vipimo twende tukapime hospitali nimejifunza sana Mimi