Unapaswa upime mara ngapi kuthibitisha majibu ya UKIMWI?


Weee acha mkuu, Kwanza hatukuamini walichukua na damu ya kwenye mshipa wakaipeleka kufanya maabara huko kujiridhisha tukaja kuchukua majibu -Ve.
Dogo akipiga simu amekuwa mtiifu maana angeanza dozi mzima mzima yaani.
 
Pole sana mkuu naamini mambo yalienda sawa na umemaliza salama PEP maana nasikia zina maseke sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu naamini mambo yalienda sawa na umemaliza salama PEP maana nasikia zina maseke sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Pep walizonipa kidonge kimoja hazikua na madhara ya sana kwangu, siku za mwanzo kichwa kilikua kinauma kwa mbali mara moja moja na kuharisha mara moja moja ila baadae nikawa sawa. Sema sometimes mwili unawasha washa hasa kwenye misuli ya tumbo ila ni kwa vipindi vifupi vifupi.

Niseme tu kua kwangu sikuona side effects nyingi au kubwa sana. Nimemaliza salama nsio jana nikapima majibu yakawa hayo basi naendelea kula good time.

Dokta aliniambia pep za sasa hazina madhara kama za zamani, akasema kama miezi 4 iliyopita ndio walileta pep mpya ambazo side effects zimekua minimised sana ila kabla ya hapo zilizokuwepo ilikua ni balaa, ndoto mbaya, kuchoka, kuweweseka nk.

Tatizo kubwa ni ile feeling kua nini kitatokea baada ya pep ndio kinaleta shida, kwamba unameza pep alafu mwishoni unakuta hakuna matokeo mazuri.
 
So mlipima baada ya mechi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fresh mkuu hata dawa za arv niliona waziri Ummy akizinadi dawa mpya ambazo hazina maudhi sana.

Hizo hisia za kuwaza ninao au sina ndo mbaya kuliko maana lazima uwe bored ukikumbuka hiloo

Glory to God
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakwepa Ngoma unakufa na Airplane Crush kama Kobe Bryant
 

Shukrani sana, mkuu, elimu kubwa hii


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Fresh mkuu hata dawa za arv niliona waziri Ummy akizinadi dawa mpya ambazo hazina maudhi sana.

Hizo hisia za kuwaza ninao au sina ndo mbaya kuliko maana lazima uwe bored ukikumbuka hiloo

Glory to God

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pep au prep ni zile zile arv/art ambazo wagonjwa wa ukimwi wanatumia. Ukienda kupewa pep unapewa dawa za wagonjwa wa ukimwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…