Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Mkuu kuitwa Father au Mshua na vijana wa Kitaa ni heshima tu,Haswa kama upo vizuri kiuchumi na unawasapoti.Huwa nafadhaika sana pale wadada ambao kwa macho nawaona kama tupo sawa wanaponiita M'BABA badala ya M'KAKA
Pia vijana wa kiume ambao nawaona ni wa rika langu wanaponiita FATHER badala ya BROTHER
Huwa najiuliza hivi ni kweli ndo nimekuwa mkubwa kiasi hiki? Ghafla hivi? Mbona ni jana tu najikumbuka nikiwa nacheza michezo ya kitoto nikiwa primary! [emoji26][emoji26]
Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app