Unapata hisia gani ukifikiria kuhusu Umri wako?

Unapata hisia gani ukifikiria kuhusu Umri wako?

Naogopa kuzeeka, nikikutana na mtu akaniangalia usoni halafu ndo anipe shkamoo yani huwa naitikia sauti ikitokea tumboni kabisa kwa mawazo....nkimcheki sasa anaenisalimia nachoka kabisa
Mimi huwa nawasalimia watu wa 60’s kwa amani kabisa, hawa wengine kwakweli nashindwa. Nawauliza tu habari? Za kwako? Basi

Sasa kuna siku nikayakanyaga akaja mzee mmoja ofisini, yuko kwenye mid au late 50’s nikamwambia “Habari?”
Aiseeee alinichambaaaa, mpaka leo wenzangu wananitania!
 
Naogopa kuzeeka, nikikutana na mtu akaniangalia usoni halafu ndo anipe shkamoo yani huwa naitikia sauti ikitokea tumboni kabisa kwa mawazo....nkimcheki sasa anaenisalimia nachoka kabisa
Mda unaenda mbio sana, sisi tushazoe kuitwa faza, mzee, uncle....na shkamoo kama zote, mwanzo ukiamkiwa unaona raha, ila mda unavyoenda unahisi hizi salam sasa ndio uzee huu.
 
Unazeeka au nikuache kwanza? [emoji2297].

1983 - 40
1984 - 39
1985 - 38
1986 - 37
1987 - 36
1988 - 35
1989 - 34
1990 - 33
1991 - 32
1992 - 31
1993 - 30
1994 - 29
1995 - 28
1996 - 27
1997 - 26
1998 - 25
1999 - 24
2000 - 23
2001 - 21
2002 - 20
2003 - 19
FB_IMG_1702016317053.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom