The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,685
Mimi nilijua nikigonga 30 na kuendelea inbidi ni behave kama mzee wangu, kumbe nimekuja kujua i am much more matured kuliko hawa wazee, japokuwa mzee wangu yupo bright ila tunakaribiana ujinga ila ile heshima ya utu uzima nilishaivua kitambo baada ya kukaa na watu wenye umri mkubwa nikajua ni just pieces of shit niliiondoa kabisa kigezo cha umri kwenye heshima, nitamheshimu mtu wenye umri mkubwa baada ya kutumia muda kidogo na yeye na akapita vigezo vyangu sisemi kwamba siwaheshimu ila ile heshima ya juu, kimoja wapo ni kuwapa pombe na kuwasikiliza