mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Binadamu Mtakatifu nimemzidi miezi 2Kwahyo unajisikiaje kua lastborn wa jf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binadamu Mtakatifu nimemzidi miezi 2Kwahyo unajisikiaje kua lastborn wa jf
We sasa hivi lile jina lako la long distance runner mkimbiaji wa mbio ndefu unabidi kumpa mtoto wako then nakupa jina jipya utaitwa MTU na NUSU.Sisi wenye miaka 73 mbona haujatuweka kwenye hiyo list?
Tupe ushauri na sisi wenye uhitaji.Unatafuta frustrations na msongo wa mawazo wewe. Makinikia na mambo ambayo yako ndani ya uwezo wako. Na kama uko mzima wa afya basi shukuru Mungu. Pita pale Muhimbili au Ocean Road ukaone mtanange wa kupambania pumzi - watoto, vijana na wazee!
Angalia mibaraka yako. Tafuta sana ujue kusudi lako. Saidia wenye uhitaji kila unapoweza na uchape kazi kwa bidii. Na uwapende sana wakupendao; na kama unaamini katika Mungu, mshike sana. Na siku moja isiyo na jina zamu yako itafika utakata moto na kwenda huko waendako. Wakupendao watalia. Wakuchukiao watafurahia...na baada ya muda utasahaulika.
Maisha!
Wacha wee Mimi Nina ndevu nyeupe we unazoBinadamu Mtakatifu nimemzidi miezi 2
Mwambie mama yako ukweli kwamba wewe ni KATAA NDOA kijana wa Dronedrake Balozi wa Timu mkono bao.Jana bi mkubwa kwa mara ya kwanza kaniuliza umri(sio kwamba haujui) baada ya kumjibu akauliza kuhusu ishu ya mke/kuoa. Nilishtuka sikutegemea kabisa hayo maneno, network ikashake tukawa hatusikilizani kwenye simu nikakata, akapiga akasema nasingizia network(kweli sikuwa namsikia), akaniambia umri umesogea nikabaki kumsikiliza tu.
Nmewaza umri ushasogea kiasi cha kuanza kusukumwa na wazazi kufanya jambo ambalo natakiwa nilifanye kwa msukumo wangu binafsi, au ndio kaona kijana wake nna itikadi za kataa ndoa? Hata sielewi ila hili la jana limechukua nafasi kubwa sana ndani ya mawazo yangu.
Natafuta Msukule man.Mimi nipo tu
nenda kwa Baraka Mwamnyeto bin MaftaNatafuta Msukule man.
dronedrake Nyetto ni laana.nenda kwa Baraka Mwamnyeto bin Mafta
😂😂kwahiyo sie wanasesere 😂😂😂Ulivyoviweka hapa vyote ni vitoto tu.....WANASESERE
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mimi sipo kwenye list,ni kitambo zaidi. Nimekubali matokeo. Ni sehemu ya maisha,hakuna atakaekwepa kuzeeka.Unazeeka au nikuache kwanza? 🙆♂️.
1983 - 40
1984 - 39
1985 - 38
1986 - 37
1987 - 36
1988 - 35
1989 - 34
1990 - 33
1991 - 32
1992 - 31
1993 - 30
1994 - 29
1995 - 28
1996 - 27
1997 - 26
1998 - 25
1999 - 24
2000 - 23
2001 - 21
2002 - 20
2003 - 19
Hapana siungi mkono juhudi za kataa ndoa, nitaoa ila naona muda bado sitaki kuharakisha mambo.Mwambie mama yako ukweli kwamba wewe ni KATAA NDOA kijana wa Dronedrake Balozi wa Timu mkono bao.
Vizuri sana Ndoa ni jambo jemaHapana siungi mkono juhudi za kataa ndoa, nitaoa ila naona muda bado sitaki kuharakisha mambo.