Unapata hisia gani ukifikiria kuhusu Umri wako?

Mkuu kuitwa Father au Mshua na vijana wa Kitaa ni heshima tu,Haswa kama upo vizuri kiuchumi na unawasapoti.


Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
 
Shikamoo zinakuwa nyingi
Halaf kuna wale age inaendana au imepishana kidogo utasikia shikamoo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naogopa kuzeeka, nikikutana na mtu akaniangalia usoni halafu ndo anipe shkamoo yani huwa naitikia sauti ikitokea tumboni kabisa kwa mawazo....nkimcheki sasa anaenisalimia nachoka kabisa
Niliwahi mpa shikamoo mdada mahali Fulani, alinipiga jicho hilo.
Lo! ungekuwa mshale saivi ningekuwa marehemu. Watu wanaogopa age kubwa eeh.
 
πŸ˜‚πŸ™Na zeeka 91-32 dah nawaza bado naishi nyumba za kupanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…