Unapenda kudate wanawake wenye kazi gani/carrer

Unapenda kudate wanawake wenye kazi gani/carrer

Kuna huyo sister alikuwepo sekondari niliyosoma, ana shepu balaa halafu anavaa nguo za kubana bana

Alitutesa sana aisee

Alikuwa anatutolea pocket money, sketi fupi akikaa unaona mapaja, ikifika siku ya kutoa pocket money watu hawachelewi
Ulikuwa unakwea mnazi tu, kila ukimuona sister eeh
 
Asubuh asubuh watu mnawaza kwichikwich.

Hongereni mnamaisha mazuri.
 
ma bar maid utaumwa sana UTI, bora waalimu huwa ni walaini safi unakula kama unakula nyama pori
 
Career sio carrier
Huenda mwenyewe anamanisha 'carrier' wa beba mizingo. Kwa sabb hata police au nesi hizo sio career ni professional career ya nesi ni health career police ni military career......huenda ana maana nyingine hatujamuelewa sie.
 
Watu wa bandari wakisikia carrier washajua mtu fulani , huku kwingine wanachanganya career na carrier.
 
Back
Top Bottom