Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Kofia kama accessory, wanaume kwa wanawake wanavaa. Nyingi ni unisex.
Me napenda sana cap, kichwa kama boga lakini still napenda sana. Challenge kubwa ni joto, jasho linajaa sana nikiwa misele Dar.
Kuna hizi za kibabe kama Peaky Blinders ila ukivaa unaonekana dalali, wanavaaga watoto wa mjini. Mi sijawahi zielewa ila kila mtu na fleva yake.
Wadada wakivaaga cap nao wanapendeza, ila kutegemea na mavazi waliyovaa
Hizi za wazee wabaka mabaka zinavutia sema ndio ivyo