Unapenda kuvaa Kofia? Style gani Unayoipendelea?

Unapenda kuvaa Kofia? Style gani Unayoipendelea?

Wewe ni kijana mshenzi sana endelea kubugia hiyo mbususu iliyozeeka pumbavu kabisa
Samahani sana kwa hapo mwanzo kwa kujigamba ila kwa sasa nimerudi nipo chini ya miguu yenu naombeni msaada najitoa vipi kwenye hili janga.😥😥😥😥😥😥😥😥bila kusahau kwa sasa nipo bagamoyo..
 
Mie bila kofia hunitoi nje.. ukiniona sina kofia basi ujue nipo ktk eneo la KAZI au ndani kwangu. nje ya hapo kofia all the time..

Kichwa ni kizuri sio kama Boga na Dada zenu wananipa lawama kwanini najificha ficha na makofia..

Kofia ina Privacy sana.. watu hawajui.. nikivurugwq napiga Kofia na Miwani juu.. incognito mode activated..

Sample ninayo hiyo namba moja hapo na nyingine ( Style Ya Jeshi ambazo hazina adjustment kwa nyuma )
 
Screenshot_20260527-195136.png

KOFIA NI MOJA TU, HII TENA BLACK PEKEE.
 
Utafiti wangu usio rasmi uvaaji wa kofia unapunguza uwezo wa kufiri kwa haraka. Mungu alivyo muumba mwanadamu sehemu ya kichwa haitaki kifuniko chochote zaidi ya nywele. Kichwa nacho kinapumua.
True. Nime experience hii, crown chakra Ina kuwa blocked
 
Niko nimevaa namba mbili naumwagilia moyo hapa. Wadau mnakaribishwa
View attachment 3596031
Nikikutana na mvaa aina hiyo ya kofia hata kama begi lilikuwa Mgongoni nalihamishia mbele na ukiniangalia sana nahama hata njia kama sio kukimbia.

Wengi niliogumiana nao Madalali, Wezi, Matapeli wa Dawa dawa.... Yaani watu Miyeyusho saanaa.
 
Back
Top Bottom