Hata mimi naona imekaa kihenga sanahiyo ya pili sijawahi kuielewa ya kwanza ipo fresh
Na ni wachaga (jokesπMtu anayevaa kofia namba 2 huwa nahisi wana kautapeli fulani na kaujuaji
Naunga mkono mpka akuueUtavaa unavotaka
Utakula unavotaka
Utafanya kila kitu
Ila uhuru wa kuinjoi n marafiki kama zamani huna kabisa.
Maisha ya kukaa na mishangazi sio sifa ni mateso..π₯π₯π₯π₯
Nipo bagamoyo ahsante ndgu zangu
Vishu Mtata
Ila wachagga wanaonewa sana πNa ni wachaga (jokesπ
Ni wajanja wajanja πIla wachagga wanaonewa sana π
Ni kweliNi wajanja wajanja π
sana japo kabila halihusiani moja kwa moja na tabia ya mtu
Kwa haraka uwezi jua anayopitia mwenzako mpaka yakukute...Naunga mkono mpka akuue
Mwana kulitafutaKwa haraka uwezi jua anayopitia mwenzako mpaka yakukute...
Vijana hata kama una ndgu yako yupo katika hilo janga piga vita atoke ikiwezekana kemea
π₯π₯π₯π₯π₯π₯ Nipo bagamoyo ahsante ni
Nahangaika kutoroka ila wapi... Natamani hhata siku anitume kariakooo nizamie huko huko ila naona kama kastukia sasaMwana kulitafuta