Unapenda Marekebisho gani yafanyike Polisi na Mahakama

Unapenda Marekebisho gani yafanyike Polisi na Mahakama

wewe ni mzigo kuliko hata hao polisi.
kujua tatizo ni 50% ya kulitatua,ila inaonekana hata ubabe wa polisi haijafahamika chanzo ni kipi.

yaani kudhani polisi ni wababe sababu tu wanatumia jina jeshi,ni uzembe wa kufikiri,kaulize kenya hapo,they got romantic name"kenyan police service"ila brutality ni kama imeongezeka.

polisi na matumizi ya nguvu ndio upolisi wenyewe"law enforcement"cha msingi unapokuwa mbele yao jua uko na polisi,ukijizima data utapigwa hata ingeitwa parokia ya kutoa huduma za kipolisi.
Acha kuumiza miguu yako bas. Kwan Kuna sehemu Hapo nimesema wabadiri jina Au nimesema litoke?
 
Hata muwe na jeshi la polisi la namna au mahakama ya namna gani,kama HAKUNA UADILIFU ni kujidanganya tu.Msiba mkubwa wa taasisi hizi na mfumo mzima wa utawala wa nchi hii ni KUKOSEKANA KWA UADILIFU.
 
As for JF for some of us it’s about oops you’re blocked for these reason’s.
Cha msingi uwezi kunitisha kwa sababu ya serikali ya jamuhuri ya muungano.

If you are gonna hack and whatever nonsense you see sio za mimi kunyofelewa kucha.

If anything wanaulizia naenda I am that good.

Tukipaka ni upuuzi wa kudhani kwa kuingilia nawasiliano yetu; you are going to impress anyone.

Si nimewapa na picha yangu, wanajua sina chama; you can never hurt
🖕🖕🖕🖕🖕🖕

Block this too I just wanted you to know; issue yangu ni kuingiliwa kwa mawasiliano na watu ambao najua hawana uwezo wa kutafsiri whatever they see.

JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala JF mods kuruhusu huo upuuzi.
Funguka Mayor Quimby
Walikudukua vipi na wapi kwenye mawasiliano gani? kwenye Simpsons?
Inaonekana wewe ni mtu mzito sana mpaka picha ukawapa, ukiwa na wakubwa wa nchi, lakini kwanini walieenda na hile siredi chap chap...

1659545315438.png
 
90% ya mibunge ambayo ndio misimamizi na mitunga sheria yamepata ubunge kwa bao la mkono/wizi wa kura, pale kuna rubber stamp tuu usitegemee chochote zaidi ya maslahi yao, uliwahi kuona wapi speaker wa bunge anajiuzuru kwa sababu kamkosoa Raisi ambayo kiuhalisia ndio kazi yake kusimamia serikali
Yule alikua dhaifu , zofo likhali. Sipika nikiongozi wa chombo Cha Mbuge. Kwa mjibu wa "katiba "hii ambayo wanaiona imejaa mapungufu, anayo mamlaka, ya kuitisha kura ya kutokua na Imani na Raisi.

Kwanini hakufanya hivyo?

Lakini pia anafaham kwa mjibu wa kanuni za bunge. Hawezi kuhojiwa nachombo chochote kwayale alio yasema Bungeni.

Kwanini hakusemea Bungeni, akaenda kuongerea Kongwa?

Yote kwa yote miundo ya vyombo vyetu hata ikiboreshwa kwa namna gani kama wahusika hawajitambui haitokua na maana.
 
Rais asiteue majaji wala jaji mkuu. Kuwe na tume ya majaji wastaafu. Wao watoe mapendekezo ya mtu anayestahili kuwa Jaji Mkuu, na watu wanaostahili kuwa majaji. Majina ya hao wapendekezwa yathibitishwe na Bunge na kutangazwa na Rais.

Jaji Mkuu au majaji wanapopoteza sifa au kuwa na tuhuma za kuwapotezea sifa, Tume ya majaji wastaafu itaanisha makosa, majina na tuhuma za hao majaji vitapelekwa Bungeni, kisha kwa Rais.

Kuhusu Jeshi la Olisi, kwanza tuanze na uteuzi wa IGP. Majina matatu ya watu wanaostahili kuwa IGPs, yapendekezwe na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wastaafu. Majina hayo yapelekwe Bungeni. Bungeni yapigiwe kura. Majina mawili yaliyopata kura nyingi yapelekwe kwa Rais. Miongoni mwa hayo majina mawili, Rais ateua mojawapo kuwa IGP. IGP atateua makamanda wa mikoa, na hao ndio wawe wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama za mikoa.
Big point
 
Kama DCI ni Kingai hajui hata PGO utarekebisha wapi !.
 
Kama unahisi Jeshi la Polisi na Mahakama haviko sawa. Unadhani ni Marekebisho gani yanatakiwa kufanyika ili Jeshi la Polisi liwe bora na Mahakama itende haki inavyotakiwa.
Mahakama ziache tabia ya kuendesha mashauri ya kesi kwa muda mrefu sana, na ziache tabia ya kuhairisha kesi mara kwa mara na kuzipiga tarehe za mbali sana! Na pia Mahakimu waache tabia ya kuhairisha kusoma Hukumu mara kwa Mara!! Ni ahayo tu Asante sana na pia hongerini sana kwa Maboresho! Mabadilliko waadau tunaanza kuyaona taratibu taratibu tutafika!!!!
 
Back
Top Bottom