Unapenda Marekebisho gani yafanyike Polisi na Mahakama

Acha kuumiza miguu yako bas. Kwan Kuna sehemu Hapo nimesema wabadiri jina Au nimesema litoke?
 
Hata muwe na jeshi la polisi la namna au mahakama ya namna gani,kama HAKUNA UADILIFU ni kujidanganya tu.Msiba mkubwa wa taasisi hizi na mfumo mzima wa utawala wa nchi hii ni KUKOSEKANA KWA UADILIFU.
 
Funguka Mayor Quimby
Walikudukua vipi na wapi kwenye mawasiliano gani? kwenye Simpsons?
Inaonekana wewe ni mtu mzito sana mpaka picha ukawapa, ukiwa na wakubwa wa nchi, lakini kwanini walieenda na hile siredi chap chap...

 
Yule alikua dhaifu , zofo likhali. Sipika nikiongozi wa chombo Cha Mbuge. Kwa mjibu wa "katiba "hii ambayo wanaiona imejaa mapungufu, anayo mamlaka, ya kuitisha kura ya kutokua na Imani na Raisi.

Kwanini hakufanya hivyo?

Lakini pia anafaham kwa mjibu wa kanuni za bunge. Hawezi kuhojiwa nachombo chochote kwayale alio yasema Bungeni.

Kwanini hakusemea Bungeni, akaenda kuongerea Kongwa?

Yote kwa yote miundo ya vyombo vyetu hata ikiboreshwa kwa namna gani kama wahusika hawajitambui haitokua na maana.
 
Big point
 
Kama DCI ni Kingai hajui hata PGO utarekebisha wapi !.
 
Kama unahisi Jeshi la Polisi na Mahakama haviko sawa. Unadhani ni Marekebisho gani yanatakiwa kufanyika ili Jeshi la Polisi liwe bora na Mahakama itende haki inavyotakiwa.
Mahakama ziache tabia ya kuendesha mashauri ya kesi kwa muda mrefu sana, na ziache tabia ya kuhairisha kesi mara kwa mara na kuzipiga tarehe za mbali sana! Na pia Mahakimu waache tabia ya kuhairisha kusoma Hukumu mara kwa Mara!! Ni ahayo tu Asante sana na pia hongerini sana kwa Maboresho! Mabadilliko waadau tunaanza kuyaona taratibu taratibu tutafika!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…