Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chainizi naipenda sana asee, napenda zaidi ikipikwa kwa mafuta tuu bila nyanya pia iwe kavu isiive sana. Yaani nikipikiwaga hivyo lazima niweke kambi hiyo sehemu kwa kweli...Mboga za majani ni muhimu sana kwa afya. Tunashauriwa kula mboga za majani kila siku.
Binafsi napenda kula mboga za majani na mboga zangu pendwa ni tembele, chainizi, majani ya maboga na kisamvu.
Tupe zako na ukiweza na jinsi ya kuziandaa.
Siyo wote ni Waluguru humu @ Ndugu!Nimesikitika sana hakuna aliye taja mwidu
Mimi kuhusu mboga za majani napenda:Mboga za majani ni muhimu sana kwa afya. Tunashauriwa kula mboga za majani kila siku.
Binafsi napenda kula mboga za majani na mboga zangu pendwa ni tembele, chainizi, majani ya maboga na kisamvu.
Tupe zako na ukiweza na jinsi ya kuziandaa.
Duh kumbe unauelewa mwiduSiyo wote ni Waluguru humu @ Ndugu!