Unapenda mboga gani ya majani?

Unapenda mboga gani ya majani?

Cabbage
Tembele
Chainizi
Kisamvu
Majani ya kunde
Majanivya maboga
Mchicha
Figiri
 
Mboga za majani ni muhimu sana kwa afya. Tunashauriwa kula mboga za majani kila siku.

Binafsi napenda kula mboga za majani na mboga zangu pendwa ni tembele, chainizi, majani ya maboga na kisamvu.

Tupe zako na ukiweza na jinsi ya kuziandaa.

Chainizi naipenda sana asee, napenda zaidi ikipikwa kwa mafuta tuu bila nyanya pia iwe kavu isiive sana. Yaani nikipikiwaga hivyo lazima niweke kambi hiyo sehemu kwa kweli...
 
Tembele
Mlenda
Kisamvu
Majani ya maboga
Majani ya kunde
Kabichi
Mnavu
 
Kisamvu ni sumu na haina faida, mboga gani ya kuchemsha muda mrefu Kama nyama.
 
Kwa kuongezea katika baadhi ya mboga

1. Mchunga
2. Tembele
3. Majani ya maboga
4. Mchicha
5. Spinach original - Kalikiti
6. Chinese
7. Choma nguo - Pwimbija
8. Kisamvu cha kinu na siyo cha blender
9. Mnafu wa kienyeji

N.k

Kasoro Majani ya kunde binafsi siyapendagi tangu utotoni.
 
Majani yote wanayokula wanadamu mm nakula sina tatizo lolote na daktari wangu. Huwa nakula mboga inayopatikana kirahisi matembele, mchicha nk nk
 
Mboga za majani ni muhimu sana kwa afya. Tunashauriwa kula mboga za majani kila siku.

Binafsi napenda kula mboga za majani na mboga zangu pendwa ni tembele, chainizi, majani ya maboga na kisamvu.

Tupe zako na ukiweza na jinsi ya kuziandaa.

Mimi kuhusu mboga za majani napenda:
1) HOMBO(mnenda) wanaotoka tanga wanaufahamu vizuri tu.
2) CHIDIDI(ni mbegu za maboga,ufuta au karanga zilizo kaangwa na kusagwa, unga wake ni special kula kwa ugali) wenyeji wa tanga wanafahamu vizuri.
3) BULUZA.
4) MNAVU
View attachment 1797471View attachment 1797472
 
Matembele ndio noma, ata awa madem tunawaambiaga wachume matembele mtuangu
 
Figiri
Majani ya maboga
Matembele
Chinese apike mtu mwingine
 
Kabeji tembere
IMG_20210519_210657.jpg
View attachment 1797506
IMG_20210518_183800.jpg
 
Kisamvu cha kopo,kiwekwe nazi lakini ndugu zangu.
Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom