Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapenda movie za aina ipi?Mimi kabla ya ku download movie huwa naangalia Rate za Rotten Tomatoes, kweli unaweza kuta movie wameipa % kubwa lakini sio nzuri kivile, sifahamu kwa nini?. Uko vizuri sana na hongera, lakini Horror movies na mimi hapana.
Usisite kuitafuta pia MARA na DEVIL ... Ntazielezea pia.Umechambua vizuri Sana katika hizo zote hapo nimeona moja tu ambayo ni Triangle kwa maelezo ulizotoa kwa movie zilizobaki nimevutiwa nazo Sana nitazicheki Kuna wengine humu wanataja horror movie za ovyo mradi tu ziwe horror tu hazina mvuto Wala ubunifu wowote.
IMDb, Rotten Tomatoes na mwenzao Metacritic sio wa kuwaamini sana mkuu, watakuingiza chaka mara kibao tu. Wana aina fulani ya movies zao ambazo zinaweza zikawa si taste yako.Mimi kabla ya ku download movie huwa naangalia Rate za Rotten Tomatoes, kweli unaweza kuta movie wameipa % kubwa lakini sio nzuri kivile, sifahamu kwa nini?. Uko vizuri sana na hongera, lakini Horror movies na mimi hapana.
Yah Hiyo movie ni nzuri Sana kwani Kuna maze runner nyingine tofauti na ya 2019?Katika movie za hivi karibuni maze runner ile ya kwanza kabisa imebaki kuwa muvi yangu bora kabisa....mkuu ingependeza kama ungenijulisha muvi zenye mfanano na maze runner
Halafu mkuu nitaomba utudadavulie wale wanao "rate" hizi movies wanatumia vigezo gani hasa..kwa mfano kuna movie inaitwa Shawshank redemption..inaongoza kwa ratings..je inastahili? Ni kama kule play store..unakuta application imepewa nyota 5 au 4 lakini kwenye reviews wadau wanailalamikia balaa.
Yah Hiyo movie ni nzuri Sana kwani Kuna maze runner nyingine tofauti na ya 2019?
Hapana, si Horror mkuu.Samahani mkuu hiyo escape room ina horrors??
Mkuu, tafuta pia na "The Hunger Games". Kama uliipenda Maze Runner utaipenda na hiyo pia.Katika movie za hivi karibuni maze runner ile ya kwanza kabisa imebaki kuwa muvi yangu bora kabisa....mkuu ingependeza kama ungenijulisha muvi zenye mfanano na maze runner