Unapenda movies? Pitia hapa kidogo

Unapenda movies? Pitia hapa kidogo

Kama unatumia simu, kuna app mwenzetu kapendekeza inaitwa POPCORN TIME. Utaweza ku stream na kupakua pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiplay movie inaleta hii msg ya VPN [emoji849]
Screenshot_20200405-201104_Popcorn%20Time.jpeg
 
Moja kati ya filam iliyoniumiza kichwa kuielewa ni ya Exam! Nimeiangalia si zaid ya mara kum lakn nimeishia patupu ila leo angalau nimepata idea kwako asante sana mkuu shukran sana kwa ufafanuzi wako.ila kama utakuwa na group la whatsap ni vyema ukaweka link

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sana boss. Na swali lenyewe lilikuwa lile la msimamizi alilouliza "kuna swali lolote?" Baada ya kutoa maelekezo. So jibu lilikuwa tu - hapana. Au ndio kisha ukauliza wewe.

Basi.

Pitia pia na post number 45 na 112 kwa mwendelezo wa movies zingine....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimeangalia Insidious na pet Semetary, ni kwamba zina mwendelezo au ndio zinaisha kiaina tu

Back
Top Bottom