Unapenda movies? Pitia hapa kidogo

Unapenda movies? Pitia hapa kidogo

Vinavyokuja hata sivielewi
Nini shida mkuu. Mbona hiyo hapo?
Screenshot_20200404-200557.jpg
Screenshot_20200404-200615.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu SteveMollel aina yo movie ulizoziainisha hapo juu ni aina ya movie ninazozipenda sana na kuzikubali, kuna movie naitafuta sana niliiona kama sikosei 2010 iv ila jina nimelisahau ndo mana nashndwa kuipata, movie yenyewe inaanza jamaa anazinduka anajikuta yupo ndani ya chumba kina kabati tu na mzoga wa panya, hakina dirisha, mlango wake ni wa mviringo kama ile ya kuingilia sefu na ukuta ni bonge la zege, baada ya kusota akaiona funguo ya kabati na kufungua na ndani kulikua na mtung wa ges na vifaa vya kutindua ukuta, alifanikiwa kutindua ukuta kwa mbind ila akatokea tena chumba kama kile na kukuta jeneza lina mwanamke ila mzma, alipomshtua akagundua hawaongei lugha moja, ilifika mahali jamaa anakinga mkojo wake na kunywa, hata kale kamzoga alikataman, basi walihangaika sana mwisho jamaa akakata tamaa akaishiwa nguvu kabisa, bdad wakashangaa tu mlango unafunguka wenyewe ndo jamaa kupata na nguv ya kuamka, kama utakua unaifahamu mkuu naomba unitajie jina lake pia.
 
Mzee baba mimi mwenyewe ulivyonisimulia nmetaman kuiona. Mbona ina ka-mahadhi ka SAW? Ebu tungoje wadau watujuze.

Pitia pia na post #45 na #112 kuna mizigo mingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nineanza na Exam, ila lile lipolisi limenizingua, limekaa kama boya tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuwa anaruhusiwa kufanya jambo mzee [emoji1] [emoji1] nadhan umeona watu walivyohaha na kumbe swali lilikuwa ni lile la msimamizi alilouliza mwanzoni "KUNA SWALI LOLOTE?" - yani ilikuwa ni kusema tu No na kazi tayari.

Pitia pia na post #45 na #112

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom