Unapenda movies? Tazama hizi weekend hii!

Unapenda movies? Tazama hizi weekend hii!

Ubarikiwe sana ukiweka nyingine nikumbuke kunitag,,
 
Yani ni wewe tu mkuu. Hapa si kwamba tunaelezeana tu stories za movies bali pia tunasaidiana kuzielewa ili tuzifurahie zaidi.

Baada ya siku kadhaa nitakuja tena na kigongo kingine
Nitag nisiwe wa mwisho
 
SteveMollel nimeangalia Vivarium lakini dah nimeachwa njia pandwa..yaani yule jamaa na demu wake ndio wamekufa kirahisi vile..nilijua labda mwishoni yule dem atafanikiwa kutoka lkn sivyo.
Mzee baba, kama unatazama horrors ukidhani zinakuwaga na hero, utafadhaika sana. Nimeelezea mbona kwenye hiyo post yangu. Katazame pia MARA na PET SEMATARY utaona huo mtindo.

Si kila.jambo huishia vile tunavyotaraji na kutaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom