Tunasubiri kwa hamu.Zitaelezewa kwenye session ya 3! ... View attachment 1419807View attachment 1419808View attachment 1419809View attachment 1419811
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasubiri kwa hamu.Zitaelezewa kwenye session ya 3! ... View attachment 1419807View attachment 1419808View attachment 1419809View attachment 1419811
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona inapeleka mbele ukibonyeza ule mstari wa blue wa chiniPopcorn time
Mzee tunasubiri utupe movie zingine za kuangalia.
Mzee unakwama wapi isiplay? Unatumia program kufungulia video kwa pc?
Haina noma mkuuMzee tunasubiri utupe movie zingine za kuangalia.
VlcMzee unakwama wapi isiplay? Unatumia program kufungulia video kwa pc?
Sent using Jamii Forums mobile app
Oya mwana mbona una spoil wengine bado hatujaiona,SteveMollel nimeangalia Vivarium lakini dah nimeachwa njia pandwa..yaani yule jamaa na demu wake ndio wamekufa kirahisi vile..nilijua labda mwishoni yule dem atafanikiwa kutoka lkn sivyo.
Cheki kwenye Yts, Google Yts fungua hiyo site utaikutamwenye link ya fast nd furious 9 naomba sana
nimeitafuta kila angle nimekosa
Sent using Jamii Forums mobile app
mwenye link ya fast nd furious 9 naomba sana
nimeitafuta kila angle nimekosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu tena. Ushauri wako uko noted.Asante mtoa mada ila usimalize uhondo wote fanya kama ulivyo simulia kwenye ile season ya kwanza,
Simulia kiasi tu,
Ikija season ya Tatu nishtue
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba, kama unatazama horrors ukidhani zinakuwaga na hero, utafadhaika sana. Nimeelezea mbona kwenye hiyo post yangu. Katazame pia MARA na PET SEMATARY utaona huo mtindo.
Si kila.jambo huishia vile tunavyotaraji na kutaka.
Sent using Jamii Forums mobile app