SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeidownloan app ya popcorn tatizo ukidownload kwenye series haionesh list za episode ili uchague utanisaidiaje kwenye hili.
Inaonyesha kila kitu mzee . Hapo unaweza ona ni season 1, na episodes ni hizo namba, so utaclick episode uitakayo. Na kama ukitaka season 2 ama zngnezo, utaclick hapo palipoandikwa season, orodha itashuka uchague season gan unatakaNimeidownloan app ya popcorn tatizo ukidownload kwenye series haionesh list za episode ili uchague utanisaidiaje kwenye hili.
Sababu hiyo movie haipo..mwenye link ya fast nd furious 9 naomba sana
nimeitafuta kila angle nimekosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimedownload lakini sioni kwenye storage ya simu yangu?Inaonyesha kila kitu mzee . Hapo unaweza ona ni season 1, na episodes ni hizo namba, so utaclick episode uitakayo. Na kama ukitaka season 2 ama zngnezo, utaclick hapo palipoandikwa season, orodha itashuka uchague season gan unatakaView attachment 1417611
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye section ya downloads kwenye app, umeona hiko ulichodownload? Na je umekiplay kikacheza?Nimedownload lakini sioni kwenye storage ya simu yangu?
Asante mkuu imekubali.Hapo kwenye section ya downloads kwenye app, umeona hiko ulichodownload? Na je umekiplay kikacheza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba nimeclick hapo panaonesha season lakini sioni episodes zikitokeaAsante mkuu imekubali.
Episode ni hizo pembeni ya neno season...huoni kuna namba zipo kwenye maduara pembeni ya neno SEASON? Hizo ndo episodes...na waweza ku-slide leftMzee baba nimeclick hapo panaonesha season lakini sioni episodes zikitokea
Pembeni wapi mzee baba?Maana hapo kwenye neno season #1 nimejaribu kubonyeza episodes hazitokei hata hapo kwenye duara ndani Kuna number za season nimejaribu Napo episodes hazitokei Ebu jaribu wewe kubonyeza number za episodes zitokee alafu screenshot.Episode ni hizo pembeni ya neno season...huoni kuna namba zipo kwenye maduara pembeni ya neno SEASON? Hizo ndo episodes...na waweza ku-slide leftView attachment 1418384
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro fanya kuslide hivyo vinamba slide hivyo vimdualaPembeni wapi mzee baba?Maana hapo kwenye neno season #1 nimejaribu kubonyeza episodes hazitokei hata hapo kwenye duara ndani Kuna number za season nimejaribu Napo episodes hazitokei Ebu jaribu wewe kubonyeza number za episodes zitokee alafu screenshot.
Pembeni wapi mzee baba?Maana hapo kwenye neno season #1 nimejaribu kubonyeza episodes hazitokei hata hapo kwenye duara ndani Kuna number za season nimejaribu Napo episodes hazitokei Ebu jaribu wewe kubonyeza number za episodes zitokee alafu screenshot.
Asante mkuu Sana nimeelewa na nishajua teyali ila naomba unisaidie kidogo hiv kwanini ukidownload video ukiwa unaangalia huwezi kupeleka mbele?
Aisee inaonekana nzuri sanaEpisode ni hizo pembeni ya neno season...huoni kuna namba zipo kwenye maduara pembeni ya neno SEASON? Hizo ndo episodes...na waweza ku-slide leftView attachment 1418384
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann usiweze mkuu? Kwan unatumia app gani kufungulia videos?Asante mkuu Sana nimeelewa na nishajua teyali ila naomba unisaidie kidogo hiv kwanini ukidownload video ukiwa unaangalia huwezi kupeleka mbele?
Popcorn time