Unapendelea kuvaaje ili utoke chicha?

Unapendelea kuvaaje ili utoke chicha?

J's on my feet (you know it)[emoji7]
So get like me
61ab324ccb186a3b8a01f8d936df5655.jpg
ha hahaha
 
gauni fupi linalo bana kwenye nyonyo, huku chini linanyanyuka kidogo ili hata kakalio katoke na kakakiatu chenye soli ndogo ............... ofisini suruali ya kitambaa na kakoti hivi fulani hivi............ halafu weekend natupiamo kaskin jeans na swags kibao ....nyumbani namagauni makubwa ya kupitisha hewa kila kona sijibani
 
Kwanini unavaa nguo za kubana huoni zina athari kiafya especially kwa mwanamke.
 
Safiii
Magauni marefu je, heels ndefu?
 
gauni fupi linalo bana kwenye nyonyo, huku chini linanyanyuka kidogo ili hata kakalio katoke na kakakiatu chenye soli ndogo ............... ofisini suruali ya kitambaa na kakoti hivi fulani hivi............ halafu weekend natupiamo kaskin jeans na swags kibao ....nyumbani namagauni makubwa ya kupitisha hewa kila kona sijibani
Hahaha hujamalizia na usiku ile unaelekea kulala
 
Hahah....taratiibu unaelekea kwenye kahawa...
Mimi nikitupia kanzu na balaghashia huku ndani nikipiga msuli....chini nina kobazi..mkono wa kushoto nina bakora yangu....waalah mabinti wanavunja shingo mpaka nawahurumia....
 
Kazini- short dress, short skirt na blouse chini nina kiatu kirefu. Mkononi nina saa. Hereni, cheni wala make - up huwa sipendelei. Nywele huwa napenda kusuka style mbali mbali.
Outing- napenda kuvaa nguo fupi ambayo itanifaa kwa siku hiyo.
Nyumban: gauni ndefu au jeans na top.
 
Kwanini unavaa nguo za kubana huoni zina athari kiafya especially kwa mwanamke.
mara moja moja mkuu.... kama weekend kwenye offer siwezi enda na gauni iliyoachia ,.. navaa kasjkean jeans
 
Back
Top Bottom