Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
mtandio????????????????????????????????????????????Sketi ndefu,blouse long sleeve na mtandio jee
Wanapendezaga wadada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtandio????????????????????????????????????????????Sketi ndefu,blouse long sleeve na mtandio jee
Wanapendezaga wadada
yes wakati mwingine unatamani umsemeshe hahahaha lolMimi anavovaa Cadet tuuu..na mashati yale ya draft hvi...
Kuna wakaka wanajipenda hady raha
sure!Umependezaa bila Shaka,
ha hahahaJ's on my feet (you know it)[emoji7]
So get like me
![]()
Sketi ndefu,blouse long sleeve na mtandio jee
Wanapendezaga wadada
Ohh kumbee, jotoo jee
Kwanini unavaa nguo za kubana huoni zina athari kiafya especially kwa mwanamke.gauni fupi linalo bana kwenye nyonyo, huku chini linanyanyuka kidogo ili hata kakalio katoke na kakakiatu chenye soli ndogo ............... ofisini suruali ya kitambaa na kakoti hivi fulani hivi............ halafu weekend natupiamo kaskin jeans na swags kibao ....nyumbani namagauni makubwa ya kupitisha hewa kila kona sijibani
Safiiigauni fupi linalo bana kwenye nyonyo, huku chini linanyanyuka kidogo ili hata kakalio katoke na kakakiatu chenye soli ndogo ............... ofisini suruali ya kitambaa na kakoti hivi fulani hivi............ halafu weekend natupiamo kaskin jeans na swags kibao ....nyumbani namagauni makubwa ya kupitisha hewa kila kona sijibani
Hahaha hujamalizia na usiku ile unaelekea kulalagauni fupi linalo bana kwenye nyonyo, huku chini linanyanyuka kidogo ili hata kakalio katoke na kakakiatu chenye soli ndogo ............... ofisini suruali ya kitambaa na kakoti hivi fulani hivi............ halafu weekend natupiamo kaskin jeans na swags kibao ....nyumbani namagauni makubwa ya kupitisha hewa kila kona sijibani
Mimi nikitupia kanzu na balaghashia huku ndani nikipiga msuli....chini nina kobazi..mkono wa kushoto nina bakora yangu....waalah mabinti wanavunja shingo mpaka nawahurumia....
wakati wa kulala na vaa gauni la kuzaliwa mkuu .. sina bajeti ya hizo nguoHahaha hujamalizia na usiku ile unaelekea kulala
magauni marefu yalinishinda .. hzio heals siziwezi japo now nipo kwenye mazoezi heals naishia kuumwa miguu tuSafiii
Magauni marefu je, heels ndefu?
Maaashalah.....nabata ushungu walah nasumbua akili yangu.....Hahah....taratiibu unaelekea kwenye kahawa...
mara moja moja mkuu.... kama weekend kwenye offer siwezi enda na gauni iliyoachia ,.. navaa kasjkean jeansKwanini unavaa nguo za kubana huoni zina athari kiafya especially kwa mwanamke.