ElviceJunior
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 311
- 373
mimi nitolee puyol muweke canavaro, halafu uko mbele mtoe ronaldinho na ronaldo ili wacheze 8 na kipa wa 9. basi mpira utaisha droo na matuta B watafungwa
Kuna walioshuhudia kikosi A na sasa wanakiona kikosi B. Wafuatilie humuhumu utaelewa.Jaman almost Wachezaj weng wa Squdra A,,wengi wetu hatukuweza kuona Fire lao enzi wakiwika,Binfsi I was too young,,So, lazima nichague kile nincho thibitisha kwa Macho yangu,ila siyo Nadharia ya kusmuliwaaaaaaa
Hatari sanamimi nitolee puyol muweke canavaro, halafu uko mbele mtoe ronaldinho na ronaldo ili wacheze 8 na kipa wa 9. basi mpira utaisha droo na matuta B watafungwa
Kijana weka MBs za kutosha kwenye cmu yako ingia YouTube uwatazame hao kikosi A halafu nd'o utajua cku hizi dunia imeishiwa wachezaji .Jaman almost Wachezaj weng wa Squdra A,,wengi wetu hatukuweza kuona Fire lao enzi wakiwika,Binfsi I was too young,,So, lazima nichague kile nincho thibitisha kwa Macho yangu,ila siyo Nadharia ya kusmuliwaaaaaaa
Ila watu mna utani sana na kizazi cha wakina messi
AISEEEEE WEWE JAMAA UNA AKILI NYINGI MNOOOWabongo na mpira wapi na wapi! Ni wachache sana ....cha kushangaza ukitaja kizazi bora kuwahi kutokea cha akina Messi na wenzie unaambiwa umeanza kufatilia mpira juziππ, mwingine anakuambia unamiaka 18. Wabongo katika ubora wao wa kujisemea.
View attachment 688469
"MESSI"Huyu ndo mchezaji ambae anawasumbua vichwa watu duniani na baadhi yao wamo humu humu....so kila anaekuja anawika miaka miwili au mitatu anapotea lakini Messi yupo pale pale...best player in all generation.
I know that mnamlenga King Messi asiyekuwa na mpinzani hadi leo hii.
Kama Yaya toure hayumo basi Kombe litakua kwenye kikosi alimo YayaMfano umepewa vikosi hivyo viwili uchague kimoja kwamba usiporudi na kombe utanyongwa
Tunaasume wote wako kwenye form zao kabisa za Hali ya juu, Kwa wakati mmoja
View attachment 688320
Tangu Mesi ashindwe kuifunga Chelsea mwaka ya 2012 nilimpunguzia alamaWabongo na mpira wapi na wapi! Ni wachache sana ....cha kushangaza ukitaja kizazi bora kuwahi kutokea cha akina Messi na wenzie unaambiwa umeanza kufatilia mpira juziππ, mwingine anakuambia unamiaka 18. Wabongo katika ubora wao wa kujisemea.
View attachment 688469
"MESSI"Huyu ndo mchezaji ambae anawasumbua vichwa watu duniani na baadhi yao wamo humu humu....so kila anaekuja anawika miaka miwili au mitatu anapotea lakini Messi yupo pale pale...best player in all generation.
I know that mnamlenga King Messi asiyekuwa na mpinzani hadi leo hii.
weka akiba ya maneno ..mwezi huu wanakutana kisha uje hapa..Tangu Mesi ashindwe kuifunga Chelsea mwaka ya 2012 nilimpunguzia alama
Uwezi simuliwa cheki YouTube mambo yao anza Na kipa.Jaman almost Wachezaj weng wa Squdra A,,wengi wetu hatukuweza kuona Fire lao enzi wakiwika,Binfsi I was too young,,So, lazima nichague kile nincho thibitisha kwa Macho yangu,ila siyo Nadharia ya kusmuliwaaaaaaa