Unapewa vikosi hivi viwili na Kim wa north Korea kwamba lazima urudi na kombe utachagua kikosi gani hapo

Unapewa vikosi hivi viwili na Kim wa north Korea kwamba lazima urudi na kombe utachagua kikosi gani hapo

mimi nitolee puyol muweke canavaro, halafu uko mbele mtoe ronaldinho na ronaldo ili wacheze 8 na kipa wa 9. basi mpira utaisha droo na matuta B watafungwa

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
 
Jaman almost Wachezaj weng wa Squdra A,,wengi wetu hatukuweza kuona Fire lao enzi wakiwika,Binfsi I was too young,,So, lazima nichague kile nincho thibitisha kwa Macho yangu,ila siyo Nadharia ya kusmuliwaaaaaaa
Kuna walioshuhudia kikosi A na sasa wanakiona kikosi B. Wafuatilie humuhumu utaelewa.
 
Jaman almost Wachezaj weng wa Squdra A,,wengi wetu hatukuweza kuona Fire lao enzi wakiwika,Binfsi I was too young,,So, lazima nichague kile nincho thibitisha kwa Macho yangu,ila siyo Nadharia ya kusmuliwaaaaaaa
Kijana weka MBs za kutosha kwenye cmu yako ingia YouTube uwatazame hao kikosi A halafu nd'o utajua cku hizi dunia imeishiwa wachezaji .
Hicho kikosi B nd'o wengepatikana wachezaji wachache ambao ungeweza kuwaingiza kwenye kikosi A tena dk 10 za mwisho wakitokea benchi ; ambao ni Ramos ; Mess , Buffon na C.Ronaldo
 
Wabongo na mpira wapi na wapi! Ni wachache sana ....cha kushangaza ukitaja kizazi bora kuwahi kutokea cha akina Messi na wenzie unaambiwa umeanza kufatilia mpira juzi😀😀, mwingine anakuambia unamiaka 18. Wabongo katika ubora wao wa kujisemea.

20180129_134503.png

"MESSI"Huyu ndo mchezaji ambae anawasumbua vichwa watu duniani na baadhi yao wamo humu humu....so kila anaekuja anawika miaka miwili au mitatu anapotea lakini Messi yupo pale pale...best player in all generation.

I know that mnamlenga King Messi asiyekuwa na mpinzani hadi leo hii.
 
View attachment 688469

AISEEEEE WEWE JAMAA UNA AKILI NYINGI MNOOO
NAHILO SIO KSTIKA MPIRA TU ..CHUNGUZA VYEMA JAMBO LOLOTE AMBALO LILIWAHI KUTOKEA ZAMANI BASI KISHA LIKAWA LINAFNYIKA LINGINE KAMA LILE LAZAMSNI KTLK WAKATI HUU ...ILE GENERATION YA ZAMANI WATAKUJA NA HOJA YA KUKWABIA KUWA SIKU HIZI HAMNA KITU ..IWE NI MZIKI ..MPIRA..FASHION .MAZINGIRA NA MICHEZO YOTE KWA UJUMLA WAKE ...
KUNA KASUMBA MOJA AMBAYO INAENDELEA TZ AMBAYO IPO KWENYE GENERATION YA ZAMANI YKUTAKA KUIAMINISHA Jamii kuwa wakati wao wa ujana ndio palikuwa ni vitu bora mpka kwenye maadili ..wakati huo huo wakijinadi kuwa ni watu wenye maadili ukija kukaa nao utachoka kabisa ..wazee hao hao ndio hutemvea na wake za watu ..wanalala na vibinti vidogo kabisaa wengine wametelekeza familia zao..ma lecture wanafelisha vijana ili wapate rushwa ya ngono yaaani ni hayari ..na mifano tunayo toka kwa wazee hao hao ambao wengine niviongozi wetu ...maana hata mchatle nae sinimzee jamani ..lkini naskia kamzalisha mke wamtu
sasa ukikaa chini wajuiliza nimaadili yapi wanayoyazungumzia hawa kuwa ktk wakati wao ylikuwa ni maadili bora wakati wanatabia chafu kiasi hiki
 
A tunaielewa sisi wahenga! Huyo CHOGO T14 alikuwa "mtu mbaya!"
 
Wabongo na mpira wapi na wapi! Ni wachache sana ....cha kushangaza ukitaja kizazi bora kuwahi kutokea cha akina Messi na wenzie unaambiwa umeanza kufatilia mpira juzi😀😀, mwingine anakuambia unamiaka 18. Wabongo katika ubora wao wa kujisemea.

View attachment 688469
"MESSI"Huyu ndo mchezaji ambae anawasumbua vichwa watu duniani na baadhi yao wamo humu humu....so kila anaekuja anawika miaka miwili au mitatu anapotea lakini Messi yupo pale pale...best player in all generation.

I know that mnamlenga King Messi asiyekuwa na mpinzani hadi leo hii.
Tangu Mesi ashindwe kuifunga Chelsea mwaka ya 2012 nilimpunguzia alama
 
hcho kikosi B KINA MILIKI MEDALI 34 ZA MSHINDI WA KWANZA WA KOMBE LA UEFA ..IDADI HIYO INAPATIKANA KWA KILA MCHEZAJI AMBAYE AMESHAWAHI KUNYANYUA KOMBE HILO ..
huku kikosi B KIKIWA KINA MILIKI BALLON D 10 wkati kikosi A KIKIWA KINAMILIKI BALOON D 9 na bado kikosi B kina wachezaji ambao bado wanacheza mpira wa ushindani ..so mpka mwaka kesho watakuwa wanaongeza idadi ya makombe ya UEFA Na TUZO ZA BALLON D

ifahamike kuwa mechi za UEFA Champions
league ndio zimekuwa ZINAPEWA KIPAUMBELE KIKUBWA CHA KUTOA MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA DUNIA. KULIKO MASHINDANO YOYOTE YALE DUNIANI NDIO MAANA TUMEONA ALEX SANCHEZ AKIISAIDIA CHILE KUCHUKUA KOMBE LA COPA AMERCA BACK TO BACK LAKINI HAKUWAHI KUCHAGULIWA KUINGIA HATA TOP 5 YA WACHEZAJI BORA WA DUNIA

KWA WENYE AKILI WAMESHANIELEWA..niwatakie siku njema wakuu
 
Jaman almost Wachezaj weng wa Squdra A,,wengi wetu hatukuweza kuona Fire lao enzi wakiwika,Binfsi I was too young,,So, lazima nichague kile nincho thibitisha kwa Macho yangu,ila siyo Nadharia ya kusmuliwaaaaaaa
Uwezi simuliwa cheki YouTube mambo yao anza Na kipa.
 
Back
Top Bottom