likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,081
Aseee Dunga tena duh umeua mkuu hapo mechi imeisha kabla haijaanzaA, toa Henry weka Luis Figo na umtoe Gerrard tuwekee Dunga ili watoto watoe shikamoo kwa wazazi wao.
Unatakiwa umalize shughuli mapema ili uwahi majukumu mengine.Aseee Dunga tena duh umeua mkuu hapo mechi imeisha kabla haijaanza
Hàhamimi nitolee puyol muweke canavaro, halafu uko mbele mtoe ronaldinho na ronaldo ili wacheze 8 na kipa wa 9. basi mpira utaisha droo na matuta B watafungwa
HahahaA, toa Henry weka Luis Figo na umtoe Gerrard tuwekee Dunga ili watoto watoe shikamoo kwa wazazi wao.
Hahahamkuu Buffon na pique wanaweza fanya unyongwe ohooo
Kizazi cha zamani si malaika. Kina mapungufu yake. Hata hivyo zipo rekodi ambazo zimewekwa na kizazi cha zamani ambazo dot.com inabidi kuvunja rekodi hizo. Hii ni kwa nyanja zote. Hutakuwi kulalamika unapokuwa challenged lather you need to overcome. Tazama; kuna wanafalsa ambao mpaka leo tunafanya reference kwao. Wapo viongozi, wabunifu kama Bill Gates au Steve Jobs. Bondia kama Mohamed Ali au hata Mike "Iron Tyson. Wacheza basket kama Michael "air" Jordan. Strong Leaders like Nelson Mandela. Center half kama Jera Mtagwa na wenzake kama Leodgar Tenga tunao akina Philbert Bayi.hcho kikosi B KINA MILIKI MEDALI 34 ZA MSHINDI WA KWANZA WA KOMBE LA UEFA ..IDADI HIYO INAPATIKANA KWA KILA MCHEZAJI AMBAYE AMESHAWAHI KUNYANYUA KOMBE HILO ..
huku kikosi B KIKIWA KINA MILIKI BALLON D 10 wkati kikosi A KIKIWA KINAMILIKI BALOON D 9 na bado kikosi B kina wachezaji ambao bado wanacheza mpira wa ushindani ..so mpka mwaka kesho watakuwa wanaongeza idadi ya makombe ya UEFA Na TUZO ZA BALLON D
ifahamike kuwa mechi za UEFA Champions
league ndio zimekuwa ZINAPEWA KIPAUMBELE KIKUBWA CHA KUTOA MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA DUNIA. KULIKO MASHINDANO YOYOTE YALE DUNIANI NDIO MAANA TUMEONA ALEX SANCHEZ AKIISAIDIA CHILE KUCHUKUA KOMBE LA COPA AMERCA BACK TO BACK LAKINI HAKUWAHI KUCHAGULIWA KUINGIA HATA TOP 5 YA WACHEZAJI BORA WA DUNIA
KWA WENYE AKILI WAMESHANIELEWA..niwatakie siku njema wakuu

Kama wewe hukuwaona usidhani humu watoto. Sisi baba zako tumewashudia.Jaman almost Wachezaj weng wa Squdra A,,wengi wetu hatukuweza kuona Fire lao enzi wakiwika,Binfsi I was too young,,So, lazima nichague kile nincho thibitisha kwa Macho yangu,ila siyo Nadharia ya kusmuliwaaaaaaa
ngoja nimalize kula nakurejea baadae ..hahaaKizazi cha zamani si malaika. Kina mapungufu yake. Hata hivyo zipo rekodi ambazo zimewekwa na kizazi cha zamani ambazo dot.com inabidi kuvunja rekodi hizo. Hii ni kwa nyanja zote. Hutakuwi kulalamika unapokuwa challenged lather you need to overcome. Tazama; kuna wanafalsa ambao mpaka leo tunafanya reference kwao. Wapo viongozi, wabunifu kama Bill Gates au Steve Jobs. Bondia kama Mohamed Ali au hata Mike "Iron Tyson. Wacheza basket kama Michael "air" Jordan. Strong Leaders like Nelson Mandela. Center half kama Jera Mtagwa na wenzake kama Leodgar Tenga tunao akina Philbert Bayi.
Huu si wivu. Just records
Kizazi cha zamani si malaika. Kina mapungufu yake. Hata hivyo zipo rekodi ambazo zimewekwa na kizazi cha zamani ambazo dot.com inabidi kuvunja rekodi hizo. Hii ni kwa nyanja zote. Hutakuwi kulalamika unapokuwa challenged lather you need to overcome. Tazama; kuna wanafalsa ambao mpaka leo tunafanya reference kwao. Wapo viongozi, wabunifu kama Bill Gates au Steve Jobs. Bondia kama Mohamed Ali au hata Mike "Iron Tyson. Wacheza basket kama Michael "air" Jordan. Strong Leaders like Nelson Mandela. Center half kama Jera Mtagwa na wenzake kama Leodgar Tenga tunao akina Philbert Bayi.
Huu si wivu. Just records
Weka na Makelele, wanchope, kulvert Patrick, mdogo wangu Okocha usimwache.A...Super sub weka figo,pirlo,kaka, ongeza wengine
Huyu dogo wenu Mess angekutana na Papaa Roberto Carlos si angekunya ulendaulenda. Sijui angepita wapiWabongo na mpira wapi na wapi! Ni wachache sana ....cha kushangaza ukitaja kizazi bora kuwahi kutokea cha akina Messi na wenzie unaambiwa umeanza kufatilia mpira juzi😀😀, mwingine anakuambia unamiaka 18. Wabongo katika ubora wao wa kujisemea.
View attachment 688469
"MESSI"Huyu ndo mchezaji ambae anawasumbua vichwa watu duniani na baadhi yao wamo humu humu....so kila anaekuja anawika miaka miwili au mitatu anapotea lakini Messi yupo pale pale...best player in all generation.
I know that mnamlenga King Messi asiyekuwa na mpinzani hadi leo hii.