Unapewa vikosi hivi viwili na Kim wa north Korea kwamba lazima urudi na kombe utachagua kikosi gani hapo

Huwezi ukamfanisha Caf na Carols vs Marcelo na Alves unaaibisha mpira hao wazee labda kama hujuwaona enzi zao
 
Kikosi A kinakuja na kombe Asubuhi na mapema.
 

Umeongea facts mkuu. Kwenye ukweli uongo hujitenga. Kama ni facts umemwaga za kutosha. Tatizo wabongo kila kitu wanajifanya wanajuwa. Alafu kitu kingine wanafuata mkumbo kaka, atakuja shabiki mandazi hapa ataongea anavyojisikia yeye na mwingine anaiga hicho hicho 😀😀😀 wasikupe tabu hawa tushawazoea kitambo sana.
 

You are very smart kaka. Usiku mwema pia!!
 

Cha kale ni dhahabu ndio maana biblia na Quran havipitwi na wakati.Ukitaka kujua zamani kulikuwa na Soka uliza FIFA kuhusu Pele.
 
Cha kale ni dhahabu ndio maana biblia na Quran havipitwi na wakati.Ukitaka kujua zamani kulikuwa na Soka uliza FIFA kuhusu Pele.
umeingia kwenye dini tena mkuu .basi kama vyakale ni dhahabu tuanze kutumia punda na farasi tuachane na usafiri wa magari..ndege ..bajaji .meli etc...maana ndio vyakale haswaaa
 
Huyu dogo wenu Mess angekutana na Papaa Roberto Carlos si angekunya ulendaulenda. Sijui angepita wapi

ona huyo Papaa wako anavyogaragazwa hapa

afu ona tena huyo papaa wako wakiwa pamoja na beki mchezaji bora wa dunia wanavyonyanyaswa hapa[emoji116]
 
Kikosi B hata Mungu na Shetani lazima washirikiane kushangilia ni fire fire fire
 
Kwa aina ya mpira wa B...na aina ya uchezaji,A walitakiwa badala ya steven gerrard wamuweke GENARO GATTUSO...angepunguza kazi yao kwa kwanja za hatari.
 
Squad A waletee hata watu 24 watafungwa tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…