Unapiga side hustle gani kukuingizia kipato?

Unapiga side hustle gani kukuingizia kipato?

Mkuje basi wakuu mnipe tenda za niwatengenezee madirisha na milango ya Aluminium..

Waleteni pia vijana wenu tunawafundisha mpaka waweze kila kitu ( Welding + kutengeneza madirisha na kila kitu ) kwa Laki3 tu🙏🙏
Nipe bei ya hili dirisha tuone kama tunaweza kufanya kazi.
Urefu 240
Upana 198
Frame ya Grey, 10 cm kioo kiwe Cha 5mm
 
Hamna utofauti inategemea TU na mazingira inapotumika....kwa mfano ukiwa kwenye bidhaa mpya masokoni hasa hasa kariakoo winga ndio hutumika sana...ila ukija kwenye uuzaji wa mashamba, magari na vitu vingine used labda dalali ndio hutumika zaidi
yes, nmekuelewa
 
Sichagui hustle.. Napiga yoyote yenye uhalali 50% uharamu 50%.. Kwakuwa mwisho wa siku naangalia napata nini kwenye nini
Every single penny counts..!
zamani nili kuwa nasema deal fulani sipigi, ikaja deal ya kuuziwa cement kwa kitonga.

Alie kuja kuleta deal nae mchungaji, nika sema eboo😁😂.
 
Mko vizuri wakubwa?

Tupeane mbinu za kuishi aisee,tuambiane apart from your permanent job unapiga side hustle gani kujiongezea kipato?

Binafsi i did bachelor of Commerce in Accounting chuo flani hapo dar,nikatafuta kazi za fani yangu nikakosa nikaanza kupiga kazi za sales and marketing.

Haikua rahisi kucopy na hizi kazi but as time goes on unaona tu kumbe mambo ni rahisi tu,so nikaja nikajiona kazi ninayofanya inanipa uhuru sana hivyo badala ya kuutumia huo uhuru vibaya better nitafute kitu kingine cha kufanya.

Bahati nzuri sehemu ninayokaa kuna shule flani ya secondary ilikua na uhaba wa walimu wa Commerce na bookkeeping, nikaomba niwe part time teacher wa masomo hayo husika,wakanikubalia mshahara tulianza nao ni laki 5 ila saivi wameniongezea nachukua laki 7.

Kuna bonus ndogo ndogo kama vile kila A ya Necta ya masomo yangu wananipa 20k,kila B wananipa 15k,mock nayo wanatoa 15k kwa 10k na mwaka huu nimezikomba hatari.so kiukweli naweza sema nayamudu maisha kiaina against all odds.

Ebu kila mmoja wetu nae ajaribu kushare side hustle yake hapa wenzetu nao wajifunze kuliko kutegemea kipato kutoka sehemu moja tu.
Na deal na bando za mtandao wa halotel kwa sasa kuanzia Gb10 kwenda juu
 
kwa kijana afanye Kama hustle, maana iki kubali mfuko una tuna vizuri Sana.

.nunua mayai tray 4
. tafuta vijana Wanao weza kuuza tray 1+ na kuendelea, naku shauri u sign ma pro.

. Jiko la mkaa, ila gesi ndo ita pendeza na kuokoa muda na nguvu kubwa ya matumizi ya mkaa.

Tray ni 8500 Hadi 9000, faida kwa tray 1 ni 6000 hadi 6500.

Wana lipwa mshahara wa mwezi, chumba Wana pangishiwa, chakula Wana nunuliwa Wana kuwa Wana pika wenyewe.
 
Hii utt unawekaje mzigo
Ni darasa kidogo la kujielimisha mkuu...nyuzi baadhi hapa jukwaani ukipitia utapata madini ...Ila kiujumla hii ni mifuko Ambapo Watu mbalimbali tunakusanya Hela kupitia kununua vipande ambapo wale wawekezaji wanaweka Hela sehemu mbalimbali mfano katika hisa na hatifungani za serikali,hivyo mtaji ukiongezeka na hela inaongezeka, Kila mmoja anapewa Hela Yake, return Yake kwa mwaka ni 10%-14%,Ambapo hapa utajihaji kupata Elimu ya mifuko hii ambayo IPO SITA mpaka kufikia leo ili unielewe zaidi
 
baada ya kukosa sana ajira mwaka jana nilipewa laki 6 na wazazi nijiajiri,nikachukua lak 4 nikaenda garage moja dodoma town nikajifunza umeme wa magari sahizi hata nimesahau kuomba ajira
 
Mko vizuri wakubwa?

Tupeane mbinu za kuishi aisee,tuambiane apart from your permanent job unapiga side hustle gani kujiongezea kipato?

Binafsi i did bachelor of Commerce in Accounting chuo flani hapo dar,nikatafuta kazi za fani yangu nikakosa nikaanza kupiga kazi za sales and marketing.

Haikua rahisi kucopy na hizi kazi but as time goes on unaona tu kumbe mambo ni rahisi tu,so nikaja nikajiona kazi ninayofanya inanipa uhuru sana hivyo badala ya kuutumia huo uhuru vibaya better nitafute kitu kingine cha kufanya.

Bahati nzuri sehemu ninayokaa kuna shule flani ya secondary ilikua na uhaba wa walimu wa Commerce na bookkeeping, nikaomba niwe part time teacher wa masomo hayo husika,wakanikubalia mshahara tulianza nao ni laki 5 ila saivi wameniongezea nachukua laki 7.

Kuna bonus ndogo ndogo kama vile kila A ya Necta ya masomo yangu wananipa 20k,kila B wananipa 15k,mock nayo wanatoa 15k kwa 10k na mwaka huu nimezikomba hatari.so kiukweli naweza sema nayamudu maisha kiaina against all odds.

Ebu kila mmoja wetu nae ajaribu kushare side hustle yake hapa wenzetu nao wajifunze kuliko kutegemea kipato kutoka sehemu moja tu.
Mimi naendesha bodaboda, side hustle ni kutibu wagonjwa wa mapenzi.
 
Mbali na mishe mishe zangu za hapa na Pale mimi ni dalali wa Bidhaa. nikitoka Job Jioni napita maduka kadhaa nachukua Oder kisha namtumia mtu wa duka la Jumla anatuma vijana wanapeleka mzigo.

Nilianza mwaka jana mwezi wa Tisa Sahv inasaidia kimtindo kupata hela ya Kula.

Karibu wewe mwenye kiwanda, mzalishaji wa bidhaa, au wenye maduka ya Jumla tufanye kazi,nimechoka kuomba Bia Bar
 
Safi na hongera sana.
baada ya kukosa sana ajira mwaka jana nilipewa laki 6 na wazazi nijiajiri,nikachukua lak 4 nikaenda garage moja dodoma town nikajifunza umeme wa magari sahizi hata nimesahau kuomba ajira
 
Mimi kila saa 11 jioni mpaka saa 4 usiku siku za kazi huwa napiga uber jumamosi na jumapili kuanzia saa 4 asubuhi mpaka 10 jioni,sikosi hivyo vielfu 50 vya mafuta na kunywa bia mbili tatu.
Hongera sana mwamba, natamani sana hiyo ishu one day
 
Michongo ni mingi tatizo POLISI tu.

Eneweiz hustle hard pesa zote ni halali.
 
Back
Top Bottom