Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Sawa sawa yaan ulikua unagusanisha vikojoleoNilikua naigiza X ila nimeacha. Kuna binti mbongo ana akaunti yake OF ndiyo nilikua partner wake katika X.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa yaan ulikua unagusanisha vikojoleoNilikua naigiza X ila nimeacha. Kuna binti mbongo ana akaunti yake OF ndiyo nilikua partner wake katika X.
100% trueSide hustle ni kubet tu
Nipe bei ya hili dirisha tuone kama tunaweza kufanya kazi.Mkuje basi wakuu mnipe tenda za niwatengenezee madirisha na milango ya Aluminium..
Waleteni pia vijana wenu tunawafundisha mpaka waweze kila kitu ( Welding + kutengeneza madirisha na kila kitu ) kwa Laki3 tu🙏🙏
yes, nmekuelewaHamna utofauti inategemea TU na mazingira inapotumika....kwa mfano ukiwa kwenye bidhaa mpya masokoni hasa hasa kariakoo winga ndio hutumika sana...ila ukija kwenye uuzaji wa mashamba, magari na vitu vingine used labda dalali ndio hutumika zaidi
zamani nili kuwa nasema deal fulani sipigi, ikaja deal ya kuuziwa cement kwa kitonga.Sichagui hustle.. Napiga yoyote yenye uhalali 50% uharamu 50%.. Kwakuwa mwisho wa siku naangalia napata nini kwenye nini
Every single penny counts..!
Alie kuja kuleta deal nae mchungaji, nika sema eboo😁😂.🤣zamani nili kuwa nasema deal fulani sipigi, ikaja deal ya kuuziwa cement kwa kitonga.
Alie kuja kuleta deal nae mchungaji, nika sema eboo😁😂.
Hata mm ninayo boda yangu ikifika saa 12 jion nawasha bolt ang sikosi 50k hadi sa 11 asbh afu jiandaa naenda kazn fresh ikifika muda fulan napiga usingiziWazee wa boda boda usiku mpaka saa 6 like hapa
Na deal na bando za mtandao wa halotel kwa sasa kuanzia Gb10 kwenda juuMko vizuri wakubwa?
Tupeane mbinu za kuishi aisee,tuambiane apart from your permanent job unapiga side hustle gani kujiongezea kipato?
Binafsi i did bachelor of Commerce in Accounting chuo flani hapo dar,nikatafuta kazi za fani yangu nikakosa nikaanza kupiga kazi za sales and marketing.
Haikua rahisi kucopy na hizi kazi but as time goes on unaona tu kumbe mambo ni rahisi tu,so nikaja nikajiona kazi ninayofanya inanipa uhuru sana hivyo badala ya kuutumia huo uhuru vibaya better nitafute kitu kingine cha kufanya.
Bahati nzuri sehemu ninayokaa kuna shule flani ya secondary ilikua na uhaba wa walimu wa Commerce na bookkeeping, nikaomba niwe part time teacher wa masomo hayo husika,wakanikubalia mshahara tulianza nao ni laki 5 ila saivi wameniongezea nachukua laki 7.
Kuna bonus ndogo ndogo kama vile kila A ya Necta ya masomo yangu wananipa 20k,kila B wananipa 15k,mock nayo wanatoa 15k kwa 10k na mwaka huu nimezikomba hatari.so kiukweli naweza sema nayamudu maisha kiaina against all odds.
Ebu kila mmoja wetu nae ajaribu kushare side hustle yake hapa wenzetu nao wajifunze kuliko kutegemea kipato kutoka sehemu moja tu.
Bando kivipi, fafanuaNa deal na bando za mtandao wa halotel kwa sasa kuanzia Gb10 kwenda juu
Hii utt unawekaje mzigoUwekeze pia itakusaidia kama unaweza Forex ,hisa hazitakusumbua pia mkuu na Uwekezaji WA pamoja kama UTT AMIS
Ni darasa kidogo la kujielimisha mkuu...nyuzi baadhi hapa jukwaani ukipitia utapata madini ...Ila kiujumla hii ni mifuko Ambapo Watu mbalimbali tunakusanya Hela kupitia kununua vipande ambapo wale wawekezaji wanaweka Hela sehemu mbalimbali mfano katika hisa na hatifungani za serikali,hivyo mtaji ukiongezeka na hela inaongezeka, Kila mmoja anapewa Hela Yake, return Yake kwa mwaka ni 10%-14%,Ambapo hapa utajihaji kupata Elimu ya mifuko hii ambayo IPO SITA mpaka kufikia leo ili unielewe zaidiHii utt unawekaje mzigo
Mimi naendesha bodaboda, side hustle ni kutibu wagonjwa wa mapenzi.Mko vizuri wakubwa?
Tupeane mbinu za kuishi aisee,tuambiane apart from your permanent job unapiga side hustle gani kujiongezea kipato?
Binafsi i did bachelor of Commerce in Accounting chuo flani hapo dar,nikatafuta kazi za fani yangu nikakosa nikaanza kupiga kazi za sales and marketing.
Haikua rahisi kucopy na hizi kazi but as time goes on unaona tu kumbe mambo ni rahisi tu,so nikaja nikajiona kazi ninayofanya inanipa uhuru sana hivyo badala ya kuutumia huo uhuru vibaya better nitafute kitu kingine cha kufanya.
Bahati nzuri sehemu ninayokaa kuna shule flani ya secondary ilikua na uhaba wa walimu wa Commerce na bookkeeping, nikaomba niwe part time teacher wa masomo hayo husika,wakanikubalia mshahara tulianza nao ni laki 5 ila saivi wameniongezea nachukua laki 7.
Kuna bonus ndogo ndogo kama vile kila A ya Necta ya masomo yangu wananipa 20k,kila B wananipa 15k,mock nayo wanatoa 15k kwa 10k na mwaka huu nimezikomba hatari.so kiukweli naweza sema nayamudu maisha kiaina against all odds.
Ebu kila mmoja wetu nae ajaribu kushare side hustle yake hapa wenzetu nao wajifunze kuliko kutegemea kipato kutoka sehemu moja tu.
Hii Dsm ?Nina subaru forester yangu,kila weekend napata tender za kuwaendesha maharusi,sikosi laki na nusu kila nikipiga hizo mishe.
Niajihusisha nakuuza bando yani unalipia pesa unapata kifurushi chako cha internet ni kuanzia Gb10Bando kivipi, fafanua
baada ya kukosa sana ajira mwaka jana nilipewa laki 6 na wazazi nijiajiri,nikachukua lak 4 nikaenda garage moja dodoma town nikajifunza umeme wa magari sahizi hata nimesahau kuomba ajira
Hongera sana mwamba, natamani sana hiyo ishu one dayMimi kila saa 11 jioni mpaka saa 4 usiku siku za kazi huwa napiga uber jumamosi na jumapili kuanzia saa 4 asubuhi mpaka 10 jioni,sikosi hivyo vielfu 50 vya mafuta na kunywa bia mbili tatu.