Unapigaje pesa kutumia siasa/chama cha siasa?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,471
Reaction score
3,768
Kumradhi wadau naomba mwenye uelewa wa kina kuhusu jambo hili anielimishe kidogo.

Kwa mtazamo wangu kufanya siasa ni jambo ghali sana, hasa unapofanya siasa ukiwa hauna serikali wala wawakilishi wanaopelekea walau upate ruzuku.

Ili ufanye siasa ni lazima uwe na mahali pa kuanzia yaani uwe na hela zako binafsi au ufadhiliwe ndipo uanze kujitangaza.

Ndipo napata wakati mgumu sana kujiuliza kwamba katika kipindi ambacho sina serikali na hakuna dalili yoyote ya kushinda uchaguzi wowote hiyo hela inayotumika kufadhili siasa zangu katika mazingira hayo nitairudishaje?

Maana navyoelewa mimi licha ya kuwa zinafanywa siasa, kwa kusingizia kuwatumikia wananchi, ukweli ni kwamba kinachotafutwa ni maslahi. Maana huwezi kufanya kitu bila maslahi yako kwanza.
 
Wapo wanaofanya siasa wenye biashara zao, uwe unafikiria nje ya box, na sio kweli kila anayefanya siasa anatafuta maslahi, hayo ni mawazo ya mwenye njaa.

Wapo wanaofanya siasa wakiwa tayari na maisha yao, wanachofanya ni kuwatumikia na kuwawakilisha watanzania, huu ndio ukweli hata kama huutaki.

Wenye njaa ni wale wasio na misimamo, wanaojua kujipendekeza kwa watawala kwa msemo wa "usipoongoza utaongozwa" wao bora wajiweke mbele mbele tu.
 
Unaweza kunitajia baadhi yao na mwenendo wa biashara zao na namna wanavyofadhili siasa kwa bila kuwa na ajenda ya maslahi.
 
ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.
 
Gwajiboy kanisa linamlipa zaidi ya siasa!
Siasa inarahisisha mambo...ukiwa ndani ya chama tawala kwanza unapata fame (bila ya kutumia pesa) na pili unapata connections kwa watu wenye nyadhifa kubwa...hapo kila kitu ktk biashara zako kitaenda kwa wepesi. Fikiria kuwa ww ni importer wa bidhaa kutoka nje ya nchi halafu una connection na mkurugenzi wa bandari, mkurugenzi mkuu wa sumatra, waziri wa uchukuzi, waziri wa fedha n.k
 
Sawa ndio maana nikauliza kufanya siasa ambayo una uhakika chama chako hakiambulii chochote wala hakitaambulia unafadhiliwa na nani? Na maadam unajua pesa hiyo haina uwezo wa kurudi utaipataje?
 
Wapo wanaofanya siasa wenye biashara zao, uwe unafikiria nje ya box, na sio kweli kila anayefanya siasa anatafuta maslahi, hayo ni mawazo ya mwenye njaa.

Wapo wanaofanya siasa wakiwa tayari na maisha yao, wanachofanya ni kuwatumikia na kuwawakilisha watanzania, huu ndio ukweli hata kama huutaki.

Wenye njaa ni wale wasio na misimamo, wanaojua kujipendekeza kwa watawala kwa msemo wa "usipoongoza utaongozwa" wao bora wajiweke mbele mbele tu.
Ni kweli ila kuna watu ni walafi.

Yaani ana mihela mingi na bado anatumia siasa kujilimbikizia mali kwa kukwepa kodi, kupata tenda kirahisi kupitia siasa.
 
Kumradhi wadau naomba mwenye uelewa wa kina kuhusu jambo hili anielimishe kidogo.

Kwa mtazamo wangu kufanya siasa ni jambo ghali sana, hasa unapofanya siasa ukiwa hauna serikali wala wawakilishi wanaopelekea walau upate ruzuku.

Ili ufanye siasa ni lazima uwe na mahali pa kuanzia yaani uwe na hela zako binafsi au ufadhiliwe ndipo uanze kujitangaza.

Ndipo napata wakati mgumu sana kujiuliza kwamba katika kipindi ambacho sina serikali na hakuna dalili yoyote ya kushinda uchaguzi wowote hiyo hela inayotumika kufadhili siasa zangu katika mazingira hayo nitairudishaje?

Maana navyoelewa mimi licha ya kuwa zinafanywa siasa, kwa kusingizia kuwatumikia wananchi, ukweli ni kwamba kinachotafutwa ni maslahi. Maana huwezi kufanya kitu bila maslahi yako kwanza.
Ni kama vile baba Rais mstaafu, mtoto Rais Wa nchi au Waziri au Mbunge, mke Mbunge. Unakuwa Mbunge baadaye unakuwa Waziri au Waziri Mkuu. Kupitia chama cha siasa unakuwa diwani, theni Mwenyekiti wa halmashauri au Meya. Au unakuwa Mbunge/ Waziri then unakuwa mfanyabiashara humohumo, unakopa hela kubwakubwa kutoka Benki au mifuko ya hifadhi ya jamii.
Namna ni nyingi, Kaa karibu na wanaccm utajua zaidi.
 
Kumradhi wadau naomba mwenye uelewa wa kina kuhusu jambo hili anielimishe kidogo.

Kwa mtazamo wangu kufanya siasa ni jambo ghali sana, hasa unapofanya siasa ukiwa hauna serikali wala wawakilishi wanaopelekea walau upate ruzuku.

Ili ufanye siasa ni lazima uwe na mahali pa kuanzia yaani uwe na hela zako binafsi au ufadhiliwe ndipo uanze kujitangaza.

Ndipo napata wakati mgumu sana kujiuliza kwamba katika kipindi ambacho sina serikali na hakuna dalili yoyote ya kushinda uchaguzi wowote hiyo hela inayotumika kufadhili siasa zangu katika mazingira hayo nitairudishaje?

Maana navyoelewa mimi licha ya kuwa zinafanywa siasa, kwa kusingizia kuwatumikia wananchi, ukweli ni kwamba kinachotafutwa ni maslahi. Maana huwezi kufanya kitu bila maslahi yako kwanza.
Naskia wanamishahara minono ....miposho na mikopo nje nje
 
Ukiwa upinzani unawapa presha walio madarakani. Wanakuita mkiyapanga unakatiwa fungu mambo yanaendelea. Unachotakiwa ni uwe na uwezo kulaghai kundi kubwa la walalahoi liwe nyuma yako likidhani unasimamia maslahi yake. Unapiga mikutano ya hadhara kama yote. Unadai haki za makundi, katiba mpya, kuibiwa uchaguzi hivyo tu.
 
Back
Top Bottom