The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Well said KamandaWapo wanaofanya siasa wenye biashara zao, uwe unafikiria nje ya box, na sio kweli kila anayefanya siasa anatafuta maslahi, hayo ni mawazo ya mwenye njaa...
Unaweza kunitajia baadhi yao na mwenendo wa biashara zao na namna wanavyofadhili siasa kwa bila kuwa na ajenda ya maslahi.Wapo wanaofanya siasa wenye biashara zao, uwe unafikiria nje ya box, na sio kweli kila anayefanya siasa anatafuta maslahi, hayo ni mawazo ya mwenye njaa.
Wapo wanaofanya siasa wakiwa tayari na maisha yao, wanachofanya ni kuwatumikia na kuwawakilisha watanzania, huu ndio ukweli hata kama huutaki.
Wenye njaa ni wale wasio na misimamo, wanaojua kujipendekeza kwa watawala kwa msemo wa "usipoongoza utaongozwa" wao bora wajiweke mbele mbele tu.
Gwajiboy kanisa linamlipa zaidi ya siasa!Unaweza kunitajia baadhi yao na mwenendo wa biashara zao na namna wanavyofadhili siasa kwa bila kuwa na ajenda ya maslahi.
Siasa inarahisisha mambo...ukiwa ndani ya chama tawala kwanza unapata fame (bila ya kutumia pesa) na pili unapata connections kwa watu wenye nyadhifa kubwa...hapo kila kitu ktk biashara zako kitaenda kwa wepesi. Fikiria kuwa ww ni importer wa bidhaa kutoka nje ya nchi halafu una connection na mkurugenzi wa bandari, mkurugenzi mkuu wa sumatra, waziri wa uchukuzi, waziri wa fedha n.kGwajiboy kanisa linamlipa zaidi ya siasa!
Sawa ndio maana nikauliza kufanya siasa ambayo una uhakika chama chako hakiambulii chochote wala hakitaambulia unafadhiliwa na nani? Na maadam unajua pesa hiyo haina uwezo wa kurudi utaipataje?Siasa inarahisisha mambo...ukiwa ndani ya chama tawala kwanza unapata fame (bila ya kutumia pesa) na pili unapata connections kwa watu wenye nyadhifa kubwa...hapo kila kitu ktk biashara zako kitaenda kwa wepesi. Fikiria kuwa ww ni importer wa bidhaa kutoka nje ya nchi halafu una connection na mkurugenzi wa bandari, mkurugenzi mkuu wa sumatra, waziri wa uchukuzi, waziri wa fedha n.k
Mi nauliza chama cha siasa we unaongelea dini? Kuongoza dini sio ghali kama kufanya kwenye siasa bila kuwa na dola?Gwajiboy kanisa linamlipa zaidi ya siasa!
Ni kweli ila kuna watu ni walafi.Wapo wanaofanya siasa wenye biashara zao, uwe unafikiria nje ya box, na sio kweli kila anayefanya siasa anatafuta maslahi, hayo ni mawazo ya mwenye njaa.
Wapo wanaofanya siasa wakiwa tayari na maisha yao, wanachofanya ni kuwatumikia na kuwawakilisha watanzania, huu ndio ukweli hata kama huutaki.
Wenye njaa ni wale wasio na misimamo, wanaojua kujipendekeza kwa watawala kwa msemo wa "usipoongoza utaongozwa" wao bora wajiweke mbele mbele tu.
Ni kama vile baba Rais mstaafu, mtoto Rais Wa nchi au Waziri au Mbunge, mke Mbunge. Unakuwa Mbunge baadaye unakuwa Waziri au Waziri Mkuu. Kupitia chama cha siasa unakuwa diwani, theni Mwenyekiti wa halmashauri au Meya. Au unakuwa Mbunge/ Waziri then unakuwa mfanyabiashara humohumo, unakopa hela kubwakubwa kutoka Benki au mifuko ya hifadhi ya jamii.Kumradhi wadau naomba mwenye uelewa wa kina kuhusu jambo hili anielimishe kidogo.
Kwa mtazamo wangu kufanya siasa ni jambo ghali sana, hasa unapofanya siasa ukiwa hauna serikali wala wawakilishi wanaopelekea walau upate ruzuku.
Ili ufanye siasa ni lazima uwe na mahali pa kuanzia yaani uwe na hela zako binafsi au ufadhiliwe ndipo uanze kujitangaza.
Ndipo napata wakati mgumu sana kujiuliza kwamba katika kipindi ambacho sina serikali na hakuna dalili yoyote ya kushinda uchaguzi wowote hiyo hela inayotumika kufadhili siasa zangu katika mazingira hayo nitairudishaje?
Maana navyoelewa mimi licha ya kuwa zinafanywa siasa, kwa kusingizia kuwatumikia wananchi, ukweli ni kwamba kinachotafutwa ni maslahi. Maana huwezi kufanya kitu bila maslahi yako kwanza.
Naskia wanamishahara minono ....miposho na mikopo nje njeKumradhi wadau naomba mwenye uelewa wa kina kuhusu jambo hili anielimishe kidogo.
Kwa mtazamo wangu kufanya siasa ni jambo ghali sana, hasa unapofanya siasa ukiwa hauna serikali wala wawakilishi wanaopelekea walau upate ruzuku.
Ili ufanye siasa ni lazima uwe na mahali pa kuanzia yaani uwe na hela zako binafsi au ufadhiliwe ndipo uanze kujitangaza.
Ndipo napata wakati mgumu sana kujiuliza kwamba katika kipindi ambacho sina serikali na hakuna dalili yoyote ya kushinda uchaguzi wowote hiyo hela inayotumika kufadhili siasa zangu katika mazingira hayo nitairudishaje?
Maana navyoelewa mimi licha ya kuwa zinafanywa siasa, kwa kusingizia kuwatumikia wananchi, ukweli ni kwamba kinachotafutwa ni maslahi. Maana huwezi kufanya kitu bila maslahi yako kwanza.
Si hadi ushinde uchaguzi usiposhinda hela inarudije?Naskia wanamishahara minono ....miposho na mikopo nje nje