Unapo-chat na girlfriend wako kwa style hii

Huyo kwanza ndo real.

Huyo wa pili kimeo
 
Huyo wa pili atanibore.

Maneno marefu refu hivo ya nn!
Mwanaume wa kujieleza hivo hapana kwa kweli.
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cc [mention]Everglow [/mention] haya sasa
Nisalimie.
Hey beautiful.
Mi ndo nianze kujieleza maneno meeengi.
Like "ujue babe naumwa, kuna mtu kaniudhi, kwanza jana we hukuwa online mi kwanza nimekununia ,I love you"
Kisha aulize
"Are you okey"
Ajibiwe
"Naah bado nimenuna"
A man aseme
" Do this and this you will be fine"
Or
"I"ll make up with you nikirudi, laters"
Take care.
That chatting hata bila kuindicate personas unajua yupi ni male na yupi ni female hapo
Its sexier zaidi when a woman does the ngwini part and a man do the physique part.
Ongea kidogo fanya sana
Niongee sana nifanye kidogo.

Sasa mwanaume anaandika text moja ina paragraph sita.
Mi niandike nn?
Masculinity ni pamoja na kuwa interrogative zaidi kuliko explanative.
Well, hii ni mimi!
 
Kumbe bhana maujuz mnayatumia kubeb people of the people
 
Ati cheki mpesa yako dah hii sms tamu kuliko hata maziwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…