Unapoambiwa chozi la mwanaume halithaminiki ndiyo kama hivi

Kingsharon92

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
7,843
Reaction score
10,321
Wanaume tumeumbiwa shida na si raha na ndiyo maana maisha yetu ni kupambana na shida ili kupata raha.

Hebu jiulize mwanaume umefiwa au umeumia kweli ukianza tu kutoa chozi utasikia kaka jikaze wewe ni mwanaume usilie unajikaza tu mpaka nyongo inavilia rohoni.

Unajaza maumivu mia kidogo Ila akilia mwanamke wewe atalia mpaka roho isuuzike.

Vijana chozi la mwanaume halina thamani ukilia unaambiwa acha umama jikaze ufe kijerumani.
 
Wanaume tumeumbiwa shida na si raha na ndiyo maana maisha yetu Ni kupambana na shida ili kupata raha
Hebu jiulize mwanaume umefiwa au umeumia kweli ulianza tu kutoa chozi utasikia Kaka jikaze wewe Ni mwanaume usilie unajikaza tu mpaka nyongo inavilia rohoni
Unajaza maumivu Mia kidogo
Ila akilia mwanamke were atalia mpaka roho isuuzike
Vijana chozi la mwanaume halina thamani ukilia unaambiea acha umama jikaze ufe kijerumani
😂😂😂Ndo mana tunakufa mapema mkuu
 
Kwa hiyo unatuonea gere?

Mkuu sisi wanawake machozi yetu sometime ni ya kitapeli tu.

Kwanza tukipatikana na kosa, au kama tuna jambo letu tunalitaka basi michozi hiyoooo ya uongo uongo.

Tukikubaliwa jambo letu tunawang'onga🤣
 
Wanaume tumeumbiwa shida na si raha na ndiyo maana maisha yetu ni kupambana na shida ili kupata raha.

Hebu jiulize mwanaume umefiwa au umeumia kweli ukianza tu kutoa chozi utasikia kaka jikaze wewe ni mwanaume usilie unajikaza tu mpaka nyongo inavilia rohoni.

Unajaza maumivu mia kidogo Ila akilia mwanamke wewe atalia mpaka roho isuuzike.

Vijana chozi la mwanaume halina thamani ukilia unaambiwa acha umama jikaze ufe kijerumani.

Ni upumbavu tuu. Mimi mwanaume lakini nikiwa na langu jambo limeniumiza nalia haswa. Nilifiwa na mama nimefika msibani nikalia watu wananigombeza eti mi mwanaume. nikawaacha nikaenda zangu room nikalia weeeee nikamaliza tukaendelea na taratibu zingine
 
Pole sana mkuu kumpoteza mama
 
Kwa hiyo unatuonea gere?

Mkuu sisi wanawake machozi yetu sometime ni ya kitapeli tu.

Kwanza tukipatikana na kosa, au kama tuna jambo letu tunalitaka basi michozi hiyoooo ya uongo uongo.

Tukikubaliwa jambo letu tunawang'onga🤣
dahh
mi nikiachwa najifungia ndani peke yangu naliaa nalia hata siku nzima
 
Ni upumbavu tuu. Mimi mwanaume lakini nikiwa na langu jambo limeniumiza nalia haswa. Nilifiwa na mama nimefika msibani nikalia watu wananigombeza eti mi mwanaume. nikawaacha nikaenda zangu room nikalia weeeee nikamaliza tukaendelea na taratibu zingine
Pole.

May Ma continue to rest in perfect peace.
 
Kwa hiyo unatuonea gere?

Mkuu sisi wanawake machozi yetu sometime ni ya kitapeli tu.

Kwanza tukipatikana na kosa, au kama tuna jambo letu tunalitaka basi michozi hiyoooo ya uongo uongo.

Tukikubaliwa jambo letu tunawang'onga[emoji1787]
ohoooo!!! duuu hiyo trick noma[emoji3][emoji3]
 
Daah we acha tu,mimi nikiwa nafika kileleni huwa natamani kulia ila moyo unaniambia "acha usenge endelea kumpelekea moto mpaka alie yeye" basi hapo ntajikaza mpaka alie yeye.
 
Back
Top Bottom