Unapoambiwa chozi la mwanaume halithaminiki ndiyo kama hivi

Hamna lolote nyie wasanii tuu... mi najiuliza, kama kwenye kugegedana hamna maumivu yoyote lakini bado mnajidai kupiga mayowe ya uongo na kweli, inawezekana kabisa hata kwenye kujifungua hamna maumivu yoyote hua ni show off zenu tu! ๐Ÿ˜‚
Hahahahahaa. Aisee Acha kabisa huko usiguse ndugu yangu haina usanii hiyo.
 
Ingekua inauma hivyo kwa nnavyowajua nyie msingerudia mpaka mara tano hadi nane. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kwanza juzi kuna demu mmoja kajifungua akaniambia kabisa mwanzo alikua anaogopa sana ila baada ya kujifungua wala hakuumwa kama alivyokua ameaminishwa.
 
Mungu ametuumba kusahau.

Tukishawaona watoto wetu huwa tunasahau kila kitu.

Hata maumivu ya kujifungua huwa hayaji Moja kwa Moja. In between God gives us relief. He works in mysterious ways.
 
We bana acha siasa zako ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ukiona maumivu yanasahaulika kirahisi hivyo ujue sio makali.

We muulize mwanaume yeyote ambae amewahi kupigwa teke la mbupu kama anaweza kusahau na kurudia tena hicho kitu hata baada ya miaka 100 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Sisis tunaleta binaadam duniani
 
Daah we acha tu,mimi nikiwa nafika kileleni huwa natamani kulia ila moyo unaniambia "acha usenge endelea kumpelekea moto mpaka alie yeye" basi hapo ntajikaza mpaka alie yeye.
[emoji1787]
 
Hatujakatazwa kulia sie wanaume uliaji wetu ni wa chini chini.. Na macho kua mekundu tuh bhc... Ila maswala ya kupayuka kupiga ukunga sijui kugara gara msibani hapo tuwaachie wenzetu
 
Back
Top Bottom