Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Tulale wote basi ukikataa mwanaume nitalia hadharani hapaAhahaaaa, acha nishushe neti nilale looh..!
Chozi la mwanaume raha lifutwe na mpenzi wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulale wote basi ukikataa mwanaume nitalia hadharani hapaAhahaaaa, acha nishushe neti nilale looh..!
Chozi la mwanaume raha lifutwe na mpenzi wake
Tulale wote basi ukikataa mwanaume nitalia hadharani hapa
Wataniambia nijikaze mwanaume nisilie ili nisifutwe machozi kwa ulimi wakoAhahaaaaa
Usihofu Prince, ntalifuta chozi lako kwa ulimi wangu hapa hapa hadharani.
Wenye wivu na shaka juu ya hili tukio, waendelee kukonda 😜
Wataniambia nijikaze mwanaume nisilie ili nisifutwe machozi kwa ulimi wako
Mama ni habari nyingine Mpwa, acha kabisaNi upumbavu tuu. Mimi mwanaume lakini nikiwa na langu jambo limeniumiza nalia haswa. Nilifiwa na mama nimefika msibani nikalia watu wananigombeza eti mi mwanaume. nikawaacha nikaenda zangu room nikalia weeeee nikamaliza tukaendelea na taratibu zingine
Chozi kufutwa kwa namna hiyo ni upendo uliyoje jameni!! Nitakula kiapo cha damu kama ni mimi wallahAhahaaaaa
Usihofu Prince, ntalifuta chozi lako kwa ulimi wangu hapa hapa hadharani.
Wenye wivu na shaka juu ya hili tukio, waendelee kukonda 😜
Chozi kufutwa kwa namna hiyo ni upendo uliyoje jameni!! Nitakula kiapo cha damu kama ni mimi wallah
Mwanaume ni binadamu anayepitia maisha magumu sana hapa duniani na ndiye wa kwanza kulaumiwa na kujilaumu yeye mwenyewe, na kuwaona wengine ndio wanapata shida, Hata mila na sheria hasa za nchi za kiafrika zimetungwa kwa ajili ya kumtwisha mwanaume mizigo isiyo yake kwa lazima. ni wakati sasa kuondokana na huu ujinga ambao umesabaisha maisha ya Wanaume kuwa magumu na mafupi.Wanaume tumeumbiwa shida na si raha na ndiyo maana maisha yetu ni kupambana na shida ili kupata raha.
Hebu jiulize mwanaume umefiwa au umeumia kweli ukianza tu kutoa chozi utasikia kaka jikaze wewe ni mwanaume usilie unajikaza tu mpaka nyongo inavilia rohoni.
Unajaza maumivu mia kidogo Ila akilia mwanamke wewe atalia mpaka roho isuuzike.
Vijana chozi la mwanaume halina thamani ukilia unaambiwa acha umama jikaze ufe kijerumani.
Umenikumbusha msiba wa grand mo kuna toto lake moja lilikua linalia.... Nilishindwa kujizuia nilicheka sanaNi upumbavu tuu. Mimi mwanaume lakini nikiwa na langu jambo limeniumiza nalia haswa. Nilifiwa na mama nimefika msibani nikalia watu wananigombeza eti mi mwanaume. nikawaacha nikaenda zangu room nikalia weeeee nikamaliza tukaendelea na taratibu zingine
Kwa hiyo unatuonea gere?
Mkuu sisi wanawake machozi yetu sometime ni ya kitapeli tu.
Kwanza tukipatikana na kosa, au kama tuna jambo letu tunalitaka basi michozi hiyoooo ya uongo uongo.
Tukikubaliwa jambo letu tunawang'onga🤣
Aisee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huko usiguse tutakuparua na mikucha tukikumbuka kugaragara leba.Bora umeamua kuvujisha siri za kambi. Mimi wanawake hua siwaamini kabisa. Eti unakuta wakati wa kugegedana mwanamke anajidai analia huku mimacho mikavuuu kama sangara aliekaushwa. Wizi tu..
Ndio maana kwenye ishu yoyote ambapo mwanamke kafanya kosa, we mpelekee mwanamke mwenzie ndio a deal nae hapo watawezana.
Mi nahisi ata kujifungua hua hakuumi kivile sema wanawake tu wanapaishaga
Hamna lolote nyie wasanii tuu... mi najiuliza, kama kwenye kugegedana hamna maumivu yoyote lakini bado mnajidai kupiga mayowe ya uongo na kweli, inawezekana kabisa hata kwenye kujifungua hamna maumivu yoyote hua ni show off zenu tu! 😂Aisee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huko usiguse tutakuparua na mikucha tukikumbuka kugaragara leba.