Unapoambiwa chozi la mwanaume halithaminiki ndiyo kama hivi

Ahahaaaaa

Usihofu Prince, ntalifuta chozi lako kwa ulimi wangu hapa hapa hadharani.

Wenye wivu na shaka juu ya hili tukio, waendelee kukonda 😜
Wataniambia nijikaze mwanaume nisilie ili nisifutwe machozi kwa ulimi wako
 
Mama ni habari nyingine Mpwa, acha kabisa
 
Ingia rooom liiiia ADI moyo uridhike alafu sasa toka nje uwafarij wengine 😊
 
Hakikisha mnalia vya kutosha msihifadhi machoz ndani, Kama unaona tabu jifungie Mahal lia
 
Ahahaaaaa

Usihofu Prince, ntalifuta chozi lako kwa ulimi wangu hapa hapa hadharani.

Wenye wivu na shaka juu ya hili tukio, waendelee kukonda 😜
Chozi kufutwa kwa namna hiyo ni upendo uliyoje jameni!! Nitakula kiapo cha damu kama ni mimi wallah
 
Chozi kufutwa kwa namna hiyo ni upendo uliyoje jameni!! Nitakula kiapo cha damu kama ni mimi wallah

Mahaba ni usanii wa hali ya juu.

Ubunifu wenye ujangiri na utekaji wa nafsi ya mtu, bila kumshuritisha.

Ukikutwa nayo, ni balaa nanusu na utamu telee.
 
Mwanaume ni binadamu anayepitia maisha magumu sana hapa duniani na ndiye wa kwanza kulaumiwa na kujilaumu yeye mwenyewe, na kuwaona wengine ndio wanapata shida, Hata mila na sheria hasa za nchi za kiafrika zimetungwa kwa ajili ya kumtwisha mwanaume mizigo isiyo yake kwa lazima. ni wakati sasa kuondokana na huu ujinga ambao umesabaisha maisha ya Wanaume kuwa magumu na mafupi.
 
Mahaba ni usanii wa hali ya juu.

Ubunifu wenye ujangiri na utekaji wa nafsi ya mtu, bila kumshuritisha.

Ukikutwa nayo, ni balaa nanusu na utamu telee.
Mungu akujalie afya njema Kasie wetu
 
Ni wazi mwanao atakwiva vilivyo huko alipojaliwa kwakweli Kasie 🥰
 
Umenikumbusha msiba wa grand mo kuna toto lake moja lilikua linalia.... Nilishindwa kujizuia nilicheka sana

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo unatuonea gere?

Mkuu sisi wanawake machozi yetu sometime ni ya kitapeli tu.

Kwanza tukipatikana na kosa, au kama tuna jambo letu tunalitaka basi michozi hiyoooo ya uongo uongo.

Tukikubaliwa jambo letu tunawang'onga🤣

Bora umeamua kuvujisha siri za kambi. Mimi wanawake hua siwaamini kabisa. Eti unakuta wakati wa kugegedana mwanamke anajidai analia huku mimacho mikavuuu kama sangara aliekaushwa. Wizi tu..

Ndio maana kwenye ishu yoyote ambapo mwanamke kafanya kosa, we mpelekee mwanamke mwenzie ndio a deal nae hapo watawezana.

Mi nahisi ata kujifungua hua hakuumi kivile sema wanawake tu wanapaishaga
 
Aisee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huko usiguse tutakuparua na mikucha tukikumbuka kugaragara leba.
 
Usiwaze mkuu ukitaka kulia ingia chumbani kwako washa radio lia weee mpaka ugalegale chini ya uvungu
Ukimaliza futa machozi kidume unatoka nje huna habari wala nini!
 
Aisee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huko usiguse tutakuparua na mikucha tukikumbuka kugaragara leba.
Hamna lolote nyie wasanii tuu... mi najiuliza, kama kwenye kugegedana hamna maumivu yoyote lakini bado mnajidai kupiga mayowe ya uongo na kweli, inawezekana kabisa hata kwenye kujifungua hamna maumivu yoyote hua ni show off zenu tu! 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…