Hahahahahaa. Aisee Acha kabisa huko usiguse ndugu yangu haina usanii hiyo.Hamna lolote nyie wasanii tuu... mi najiuliza, kama kwenye kugegedana hamna maumivu yoyote lakini bado mnajidai kupiga mayowe ya uongo na kweli, inawezekana kabisa hata kwenye kujifungua hamna maumivu yoyote hua ni show off zenu tu! π
Hahahahahaa. Aisee Acha kabisa huko usiguse ndugu yangu haina usanii hiyo.
Mungu ametuumba kusahau.Ingekua inauma hivyo kwa nnavyowajua nyie msingerudia mpaka mara tano hadi nane. ππ kwanza juzi kuna demu mmoja kajifungua akaniambia kabisa mwanzo alikua anaogopa sana ila baada ya kujifungua wala hakuumwa kama alivyokua ameaminishwa.
We bana acha siasa zako ππ ukiona maumivu yanasahaulika kirahisi hivyo ujue sio makali.Mungu ametuumba kusahau.
Tukishawaona watoto wetu huwa tunasahau kila kitu.
Hata maumivu ya kujifungua huwa hayaji Moja kwa Moja. In between God gives us relief. He works in mysterious ways.
Sisis tunaleta binaadam dunianiWe bana acha siasa zako ππ ukiona maumivu yanasahaulika kirahisi hivyo ujue sio makali.
We muulize mwanaume yeyote ambae amewahi kupigwa teke la mbupu kama anaweza kusahau na kurudia tena hicho kitu hata baada ya miaka 100 ππ
ππππUmenikumbusha msiba wa grand mo kuna toto lake moja lilikua linalia.... Nilishindwa kujizuia nilicheka sana
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
[emoji1787]Daah we acha tu,mimi nikiwa nafika kileleni huwa natamani kulia ila moyo unaniambia "acha usenge endelea kumpelekea moto mpaka alie yeye" basi hapo ntajikaza mpaka alie yeye.
Unakufa na tai shingoni.Kufa kijerumani ndio kufaje[emoji3]