Unapoamua kujihusisha na mapenzi ya JF na wana JF.

Hahahah wengine hawajui kuwa ni magaidi ya mitandaooo

Kwa saiv namshukuru kalumanzila alivyonifanya yan mm kabisa nakuwa busy aisee sema nayamiss madanga ya jf vibaya mno japo wengine wana maid 3 moja anakusifia akija na nyingine ananiponda yani mambo mengi mchanganyiko sema nn? Nipo karibu na mirembee hapa shwaaaaaaaah sekunde tu natibiwaaa kama jf itanifanya chizi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we mtoto jinga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daahh😂😂😂😂
 
Hahhahahah
 
Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye namba 3 natia mkazo tu, hasa kwa wale ambao hamuungi mkono juhudi Unaweza ukakutana na wakereketwa wazalendo watakachokufanyia bila ganzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…