Unapoandika hisia zako WhatsApp ukafuta, wenye WhatsApp GB wanaona ulichokosea, endelea kukosea ulikuwa sahihi

naifaham ila cjajua ina tofauti na whatap app zngine, kusema cjui mtu anaweza kusoma text zako ukiwa una type kabla ya kutuma ndo wamenichanganya kabisa
aaah ujamuelewa mtoa mada sio kusoma kabla ya kutuma haina uwezo huo bali kasema kutuma Status na kuifuta ndio kwa anayetumia GB WhatsApp bado anaweza iona tu status so mfano umetuma status bila kufikiri ukiendeshwa na Hisia ulizonazo wakati huo ukajitukia na kufuta bado mtu wa GB bado ataendelea kuona tu
 
Kama ni mama yangu naweza jiua asee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Siendi mie. Naenda kufanya nini huko? Duniani kwenyewe nimeshindikana,huko ndo naenda kuweka jam! Na kuyakela mapepo. Nataka hapa hapa. Tena we mwanamke naona unataka matatizo wewe
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Connection nawatumia wanawake wenzangu tyuuu!!
Kantry mwenyewe alilionea kwenye simu yangu sikumtumia!!! Nilijua lingemletea shida had kazini πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…