Unacheka nini! Si useme na wewe unazitumia🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unacheka nini! Si useme na wewe unazitumia🤣🤣🤣🤣
Nacheka sana namna picha inavyoonbwa na ni kama vile sitaki lahasha mie natamani anitumie inbox kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]tupia basi hako ka picha mkuu🤏[emoji41]
aaah ujamuelewa mtoa mada sio kusoma kabla ya kutuma haina uwezo huo bali kasema kutuma Status na kuifuta ndio kwa anayetumia GB WhatsApp bado anaweza iona tu status so mfano umetuma status bila kufikiri ukiendeshwa na Hisia ulizonazo wakati huo ukajitukia na kufuta bado mtu wa GB bado ataendelea kuona tunaifaham ila cjajua ina tofauti na whatap app zngine, kusema cjui mtu anaweza kusoma text zako ukiwa una type kabla ya kutuma ndo wamenichanganya kabisa
Sorry bhanaMfyuuu!!! 😂😂😂😂
Kwa nini inbox! Uanze na mara oh we umeumbika? Aweke hapa tugawane.Nacheka sana namna picha inavyoonbwa na ni kama vile sitaki lahasha mie natamani anitumie inbox kabisa [emoji1787][emoji1787]
@Lamomy ujue unazingua nitumie inbox nikague kwa standard za TBS[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio vizuri ila we jua kwa bi mkubwa yaliyomo yamo
Wewe ni mimi...Sipendi watu wanaotumia gb WhatsApp kwakweli [emoji34]
Yote majibu sahihiKwahiyo alichobarikiwa ni shanga au kitumbua?
Inawezekana kutumia wasap ya kawaida pamoja na gb kwenye device moja?Upo nyuma sana bro,mwaka wa nne huu nakula maisha GB ni habari ingine.
Na wale wanaoview status bila kuonekana😃😃Wewe ni mimi...
Na wale wanaoondoa blue tick...Mimi huyu hata kuchart naye naona kazi.
🤣🤣🤣🤣 bi mkubwa sio poah!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu unayaweza weyeeeeh.
Ntumie haraka uduguu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bi mkubwa sio poah!!
Ngoja nikutumie pm udugu uone uumbaji wa Mungu
Kama ni mama yangu naweza jiua asee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi nikigundua una WhatsApp Gb nakublock au nafuta namba zako!!
Kuna mmama alipiga pic ya utupu kwa camera ya mbele na sura lake linaonekana pamoja na mpodido, akataka kumtumia mchepuko akashangaa kalituma tumbua status [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wakasave, akaja kupigiwa simu na mtoto wake wa kike afute baada ya mume wa mtoto wake kuliona!!!
Sema japo mamá age go ila katuzidi had mabinti afu alivaa shanga toleo jipya hahaaaaa!! [emoji2222][emoji2222]
😂😂😂 Connection nawatumia wanawake wenzangu tyuuu!!Siendi mie. Naenda kufanya nini huko? Duniani kwenyewe nimeshindikana,huko ndo naenda kuweka jam! Na kuyakela mapepo. Nataka hapa hapa. Tena we mwanamke naona unataka matatizo wewe
Kwani dhambi si mapambo 😂😂😂Unacheka nini! Si useme na wewe unazitumia
😂😂😂😂 tumeni bundle kwanzaNacheka sana namna picha inavyoonbwa na ni kama vile sitaki lahasha mie natamani anitumie inbox kabisa [emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣 Vijana wa hovyoKwa nini inbox! Uanze na mara oh we umeumbika? Aweke hapa tugawane.
😂😂😂😂 Mara pap bi mkubwa wako@Lamomy ujue unazingua nitumie inbox nikague kwa standard za TBS
😂😂😂😂 ASAP uduguNtumie haraka uduguu.
TupoNa wale wanaoview status bila kuonekana😃😃