Unapoandika hisia zako WhatsApp ukafuta, wenye WhatsApp GB wanaona ulichokosea, endelea kukosea ulikuwa sahihi

Unapoandika hisia zako WhatsApp ukafuta, wenye WhatsApp GB wanaona ulichokosea, endelea kukosea ulikuwa sahihi

naifaham ila cjajua ina tofauti na whatap app zngine, kusema cjui mtu anaweza kusoma text zako ukiwa una type kabla ya kutuma ndo wamenichanganya kabisa
aaah ujamuelewa mtoa mada sio kusoma kabla ya kutuma haina uwezo huo bali kasema kutuma Status na kuifuta ndio kwa anayetumia GB WhatsApp bado anaweza iona tu status so mfano umetuma status bila kufikiri ukiendeshwa na Hisia ulizonazo wakati huo ukajitukia na kufuta bado mtu wa GB bado ataendelea kuona tu
 
Mimi nikigundua una WhatsApp Gb nakublock au nafuta namba zako!!
Kuna mmama alipiga pic ya utupu kwa camera ya mbele na sura lake linaonekana pamoja na mpodido, akataka kumtumia mchepuko akashangaa kalituma tumbua status [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wakasave, akaja kupigiwa simu na mtoto wake wa kike afute baada ya mume wa mtoto wake kuliona!!!

Sema japo mamá age go ila katuzidi had mabinti afu alivaa shanga toleo jipya hahaaaaa!! [emoji2222][emoji2222]
Kama ni mama yangu naweza jiua asee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Siendi mie. Naenda kufanya nini huko? Duniani kwenyewe nimeshindikana,huko ndo naenda kuweka jam! Na kuyakela mapepo. Nataka hapa hapa. Tena we mwanamke naona unataka matatizo wewe
😂😂😂 Connection nawatumia wanawake wenzangu tyuuu!!
Kantry mwenyewe alilionea kwenye simu yangu sikumtumia!!! Nilijua lingemletea shida had kazini 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Back
Top Bottom