Unapoandika hisia zako WhatsApp ukafuta, wenye WhatsApp GB wanaona ulichokosea, endelea kukosea ulikuwa sahihi

Modded Apk za Whatsapp zina raha yake but unatakiwa ujue kuitumia.

Wengi hawajui matumizi sahihi ya hizi mods.

Kwa wale wadandia tren kwa mbele.

1_ kuna hati hati ya kupoteza Chats za muhimu.

2_Kuleftishwa magroup yote endapo utafanya makosa wakati wa updates.

3_Kula Ban ya muda usiofahamika.

4_Kuingiza spyware.
Hii ngj niwaambie tu, kuna Mrembo mmoja baada ya kutumia hizi mods Whatsapp ikamshinda ku update, akanifata nimsaidie.

Mie nilichofanya ni kuinject Spyware Payload ktk Xml syntax za ile Apk na kumtumia.

Baada ya kuinstall mie nikapata full access ya simu yake..

So kudukuliwa ni rahisi mno. Maana unaondoa security layers za installation from unknown resources and sometimes Google play protect inakuwa disabled.. sasa kwetu sisi wazee wa Ngwasuma ni sherehe.
 
Nina wahakika kama mwanafunzi wa philosophy 90% ya wachangiaji wakiwemo mods walio rekebisha hicho kichwa cha habari hawajakuelewa philosophical massage ulio taka ifike kwa wa husika, kama sio kweli naomba unijibu
 
Hapo nimeelewa mkuu...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Endelea na stori, ikawaje ikawaje...
 
Naipenda GP whatsapp kwa sababu 4 kubwa.
1. Ukifuta nitaona tu.
2. Niki view status yako hutajua
3. Ukini text nitajibu nitakapojiskia.
4. Inatenganisha individual chats na magroup. Mtu una magroup 20+ na kuna muda husomi au hata hufungui baadhi ya chats za magroup hadi upate muda. Sasa katikati ya utitiri wa chats za magroup kuna mtu katuma ujumbe wa muhimu muda huo. Sometime huwa wanapitiwa na kuhisi ana chats za magroup tu. Ndio hapo mtu anakujibu usiku. Gb ukinitumia ujumbe individual ni rahisi tu kuuona, ila kukujibu ni hadi nipende. Maana hata nikiusoma hutajua nimeusoma

Mama mwenye nyumba wangu ni mstaafu, hana mume, ana age around 70-80 hapo. Aliwahi post link ya ya you tube inayosema, "jinsi ya kuwa na hisia za kimapenzi kwa mwanamke mzee" kesho yake akapost nyingine "jinsi ya kumridhisha mama mtu mzima"

Sasa imagine isingekua whatsapp gb, angeniona kuwa nimeona alichokipost na tunavyoheshimiana ingekuaje?

Whatsapp gb ni moja ya sababu nimeshindwa tumia iphone kama simu yangu changuo la kwanza. Mimi na samsung S na Note damdam, iphone zitabaki kuweka chip yangu ya kupiga na kupokea
 
Naughty by nature GB w'app kasoro yake ni moja tu.

Uki-delay kui-update ikiwa detected namba yako inapigwa ban kutumia w'app so ukiipenda uwe makini sana siku ukiona notification inadai kuboreshwa tu hapo hapo u-download uendelee kula maisha.
Yeah, mm kuna muda naenda mwenyewe kwenye web kuchek kama kuna version mpya. Huwa napenda sana updates za apps zangu, zinanipa experience bomba sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…