kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,706
- 6,901
Unachokifanya ni unyanyasaji usiomithilika mlongo kakuomba bila hata energy unamtumia sie wengine unakwepa hii haikubaliki.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ASAP udugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachokifanya ni unyanyasaji usiomithilika mlongo kakuomba bila hata energy unamtumia sie wengine unakwepa hii haikubaliki.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ASAP udugu
Bei gani, toa maelekezo sasa namna ya kukulipa.Ladies free, ila nyie mnaotaka kwa kazi maalumu ndo mlipie hela ya bundle 🤣🤣🤣
Inawezekana kutumia whatsapp hata nne kwenye simu Moja..Inawezekana kutumia wasap ya kawaida pamoja na gb kwenye device moja?
Nina wahakika kama mwanafunzi wa philosophy 90% ya wachangiaji wakiwemo mods walio rekebisha hicho kichwa cha habari hawajakuelewa philosophical massage ulio taka ifike kwa wa husika, kama sio kweli naomba unijibuHii ni sentensi yangu, imejaa Falsafa.
Naona wengi wanfuta wakat wengine wanaendelea kuona ulichofuta.
Binafsi naona madam umeandika usifute. Acha uko sahihi.
Kinaacha wengi tunaandika tunafuta, unaandika sentensi unafuta u r wrong. What you have just wrote is right
Nakuletea uko uko nawe 🤣🤣🤣Tsup sasa cna, hebu ntext PM kwan
Huyo udugu wangu, mmbea mwenzangu 😂😂😂Unachokifanya ni unyanyasaji usiomithilika mlongo kakuomba bila hata energy unamtumia sie wengine unakwepa hii haikubaliki.
Tuma bundle 🤣🤣🤣Bei gani, toa maelekezo sasa namna ya kukulipa.
Hapo nimeelewa mkuu...aaah ujamuelewa mtoa mada sio kusoma kabla ya kutuma haina uwezo huo bali kasema kutuma Status na kuifuta ndio kwa anayetumia GB WhatsApp bado anaweza iona tu status so mfano umetuma status bila kufikiri ukiendeshwa na Hisia ulizonazo wakati huo ukajitukia na kufuta bado mtu wa GB bado ataendelea kuona tu
Wewe nini?? Mbona unanisumbua niko na shemeji yako huku 🤣🤣🤣
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi nikigundua una WhatsApp Gb nakublock au nafuta namba zako!!
Kuna mmama alipiga pic ya utupu kwa camera ya mbele na sura lake linaonekana pamoja na mpodido, akataka kumtumia mchepuko akashangaa kalituma tumbua status [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wakasave, akaja kupigiwa simu na mtoto wake wa kike afute baada ya mume wa mtoto wake kuliona!!!
Sema japo mamá age go ila katuzidi had mabinti afu alivaa shanga toleo jipya hahaaaaa!! [emoji2222][emoji2222]
Nikiendelea watu watamjua ni mama maarufu mfanyabiashara 😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Endelea na stori, ikawaje ikawaje...
Ndiyo maana 🙆Wewe nini?? Mbona unanisumbua niko na shemeji yako huku 🤣🤣🤣
Bila picha ni uongo mkuu.😂😂Nacheka sana namna picha inavyoonbwa na ni kama vile sitaki lahasha mie natamani anitumie inbox kabisa [emoji1787][emoji1787]
Sijajua mkuu? Kiaje🤔Hio hata WhatsApp ya kawaida unaweza kuiseti
Endelea inbox [emoji395] kwangu, mimi sitaweza kumjua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikiendelea watu watamjua ni mama maarufu mfanyabiashara [emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah, mm kuna muda naenda mwenyewe kwenye web kuchek kama kuna version mpya. Huwa napenda sana updates za apps zangu, zinanipa experience bomba sanaNaughty by nature GB w'app kasoro yake ni moja tu.
Uki-delay kui-update ikiwa detected namba yako inapigwa ban kutumia w'app so ukiipenda uwe makini sana siku ukiona notification inadai kuboreshwa tu hapo hapo u-download uendelee kula maisha.