Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Ujiue kwa starehe za mtu 🤣🤣🤣🤣Kama ni mama yangu naweza jiua asee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi kujiua unafikiri km kunywa maji?!
Sema itakutesa ukiwa unapenzika na mkeo, picha la tumbua la bi mkubwa linakujia!!
Unaweza ukajitukana mwenyewe!!!