Unapoandika hisia zako WhatsApp ukafuta, wenye WhatsApp GB wanaona ulichokosea, endelea kukosea ulikuwa sahihi

Ujiue kwa starehe za mtu 🤣🤣🤣🤣
Hivi kujiua unafikiri km kunywa maji?!
Sema itakutesa ukiwa unapenzika na mkeo, picha la tumbua la bi mkubwa linakujia!!
Unaweza ukajitukana mwenyewe!!!
Dah nmejaribu kuvuta picha , hii ni mbaya sana ,hasa kwa sisi watoto wakiume na mama zetu,kwa mtoto wa kike atachukulia kawaida tu.
 
Kwa akili zangu hizi nimeelewa falsafa yako .

Najuakabisa hapa hujamaanisha whatsaap Gb kama wanavyo comment waungwana .

Hapa umemaanisha usaliti katika mapenzi na karma zake.

Ipo hivi...

*** unamwacha mpenzi wako ukidhani siyo sahihi ,unaenda kwa mpenzi mwingine ambaye unaona ni sahihi kumbe sisi tunaona umeenda ambapo siyo sahihi ""
 
Tunaacha dhahabu tunaacha diamond
 
Ujiue kwa starehe za mtu 🤣🤣🤣🤣
Hivi kujiua unafikiri km kunywa maji?!
Sema itakutesa ukiwa unapenzika na mkeo, picha la tumbua la bi mkubwa linakujia!!
Unaweza ukajitukana mwenyewe!!!
Mjinga kweli wewe. Si unalinganisha tuuu hapo. Kama la maza ndo liko poa,unachora tu picha ya mother biashara inaisha. Wife anajua ni yeye amegegedwa,kumbe hamna kitu
 
Back
Top Bottom