Unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Tuanzie na zongo kule Tanga, hii ni aina ya uchawi unaokaa kwenye macho..... Mwenye hili fataki la zongo akikuangalia tu tayari transmission inakuwa imefanyika... Ni mfumo fulani wa wireless communications... Nusu saa kubwa utaanza kuumwa tumbo na kuharisha sana! Tiba yake ni nini? Unga fulani imekaa kama magadi unaitwa MAKATA... ukishakunywa hiyo dakika kumi nyingi umeshapona! SAYANSI hapa ingefanya nini? Ingetumia mlolongo mrefu wa kutengeneza bacteria wenye virus wa ugonjwa wa kuhara... Ingetafutwa njia na kumwambukiza mtu hao virus kisha aanze kuumwa... N baada ya hapo ungeanza mchakato wa matibabu.... Uchawi hauna longolongo zote hizo ni hit n run... Finish.... Na infant wireless transmission theory ni copy n paste toka kwenye uchawi

Mfano wa pili kupaa angani ama kusafiri..
Mchawi ana njia tatu rahisi sana
1.kwa kutumia kifaa kama ungo, fimbo ama ungo. Usafiri wa angani
2. Kutumia mnyama kama fisi nk.. Usafiri wa nchi kavu.
3. Kutumia wireless transmission.. Unajiandaa kisha unafumba macho... Sekunde kadhaa ukifungua umeshafika.. Hii inaitwa serve all purpose.. Mwendokasi wake ni zaidi ya supersonic speed... Kwa usafiri huo kama ni sayansi ingetumia mlolongo mrefu wa kutengeneza ndege magari na vyombo vya majini.. Na ingechukua muda na taratibu nyingi...

Mfano wa tatu.... Kuingia ndani kwa mtu... Kupitia pembe ya nyumba ama chumba chako... Mchawi ana uwezo wa kuingia na kukufanya chochote atakacho na akaondoka salama ukiwa wala hujui ulichifanyiwa.. Utastuka akishaondoka... (Usiwaze popobawa) sayansi haina uwezo huo... Wamejaribu wameshindwa..

Mfano wa NNE fumanizi la kunasiana... Ama kunasishwa mziho au kitu ulichoiba... Hii magnetism theory bado sana sayansi kufika huku....
Sayansi ina limitations nyingi kuliko uchawi.. Sayansi ni ubunifu wa kibinadamu kukopi nguvu asili zisizoonekana lakini zinafanya kazi na matokeo yanaonekana... Inapoishia sayansi ndipo uchawi unapoanzia.. Na kwakuwa sayansi ndio inaiga na kuhawilisha hivyo kamwe haiwezi kutenda kama halisi.....

Tofauti kubwa iliyopo kati ya SAYANSI na UCHAWI ni ITHIBATI... sayansi ina ithibati japo si kwa aslimia miamoja... Uchawi hauna ITHIBATI lakini matokeo yake ni asilimia mia moja.... Sababu ni moja tu... Uchawi una asili ya ulimwengu wa roho... Na ulimwengu wa roho ndio ulianza kabla ya ulimwengu wa macho ulimwengu wa sayansi....
Kiumbaji binadamu ndio kiumbe wa mwisho kuumbwa hivyo hata awe mjuzi na mbunifu Kiasi gani hataweza kufanya kitu kwa mafanikio ya asilimia mia moja bila kugusa ulimwengu wa roho... Ukisoma The mason doctrine utanielewa vema....

Asubuhi njema!
 
Hahaha...Mkuu, hiyo ya tatu ni balaa. zamani tukiwa bado wadogo kuna jirani yetu alikuwa na hiyo sayansi (uchawi) na alikuwa hajifichi kujisema alivyobobea kwenye sayansi hiyo ya Asili. siku moja alikwenda na rafiki yake kuwinda kitoweo poli la BULIGI. kwa bahati mbaya wakavamiwa na simba na yule rafiki yake hakuwa na lakufanya. jamaa akampoteza kwa speed ya radi. jamaa anazinduka anajikuta yuko nyumbani.

Asubuhi njema Boss
 
Hahaha...Mkuu, hiyo ya tatu ni balaa. zamani tukiwa bado wadogo kuna jirani yetu alikuwa na hiyo sayansi (uchawi) na alikuwa hajifichi kujisema alivyobobea kwenye sayansi hiyo ya Asili. siku moja alikwenda na rafiki yake kuwinda kitoweo poli la BULIGI. kwa bahati mbaya wakavamiwa na simba na yule rafiki yake hakuwa na lakufanya. jamaa akampoteza kwa speed ya radi. jamaa anazinduka anajikuta yuko nyumbani. Asubuhi njema Boss
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120]
 
Hahaha...Mkuu, hiyo ya tatu ni balaa. zamani tukiwa bado wadogo kuna jirani yetu alikuwa na hiyo sayansi (uchawi) na alikuwa hajifichi kujisema alivyobobea kwenye sayansi hiyo ya Asili. siku moja alikwenda na rafiki yake kuwinda kitoweo poli la BULIGI. kwa bahati mbaya wakavamiwa na simba na yule rafiki yake hakuwa na lakufanya. jamaa akampoteza kwa speed ya radi. jamaa anazinduka anajikuta yuko nyumbani. Asubuhi njema Boss
Hahaaaa...tatizo hapa jamaa aisingeamini kama alipotezwa salama. Shida kubwa ya haya mambo ya roho hayathibitiki, hayaaminiki na hayajirudii. Mchawi akiua, ukimuambia arudie namna alivyofanya akaua hawezi.
 
Uchawi hauna reverse action kama ilivyo ulimwengu ambao sanaa ya uchawi ndio asili yake huwezi kuurudisha wakati nyuma
 
Mkuu, kama unakumbuka mwaka 1997 Dr. Matunge aliita wandishi wa habari na baadhi ya viongozi wa serikali na kuutangazia Umma kuwa anataka kuanzisha huduma ya Usafiri wa Anga kwa kutumia Ungo/sayansi ya asili.

Akasema ataanza na ruti ya DAR-MWANZA etc. Kama sijakosea, waziri wa sayansi na technology alikuwa Dr. Pius Ngw'andu. Ilileta hisia tofauti kwa wananchi...
 
Mkuu, kama unakumbuka mwaka 1997 Dr. Matunge aliita wandishi wa habari na baadhi ya viongozi wa serikali na kuutangazia Umma kuwa anataka kuanzisha huduma ya Usafiri wa Anga kwa kutumia Ungo/sayansi ya asili. Akasema ataanza na ruti ya DAR-MWANZA etc. Kama sijakosea, waziri wa sayansi na technology alikuwa Dr. Pius Ngw'andu. Ilileta hisia tofauti kwa wananchi...
Ifike mahali mambo kama haya yasionekane kama forbidden knowledge.... Angepewa ruhusa ingekuwa ni kick start moja kubwa sana na leo hii tungekuwa mbali sana
 
Tuanzie na zongo kule Tanga, hii ni aina ya uchawi unaokaa kwenye macho..... Mwenye hili fataki la zongo akikuangalia tu tayari transmission inakuwa imefanyika... Ni mfumo fulani wa wireless communications... Nusu saa kubwa utaanza kuumwa tumbo na kuharisha sana! Tiba yake ni nini? Unga fulani imekaa kama magadi unaitwa MAKATA... ukishakunywa hiyo dakika kumi nyingi umeshapona! SAYANSI hapa ingefanya nini? Ingetumia mlolongo mrefu wa kutengeneza bacteria wenye virus wa ugonjwa wa kuhara... Ingetafutwa njia na kumwambukiza mtu hao virus kisha aanze kuumwa... N baada ya hapo ungeanza mchakato wa matibabu.... Uchawi hauna longolongo zote hizo ni hit n run... Finish.... Na infant wireless transmission theory ni copy n paste toka kwenye uchawi

Mfano wa pili kupaa angani ama kusafiri..
Mchawi ana njia tatu rahisi sana
1.kwa kutumia kifaa kama ungo, fimbo ama ungo. Usafiri wa angani
2. Kutumia mnyama kama fisi nk.. Usafiri wa nchi kavu.
3. Kutumia wireless transmission.. Unajiandaa kisha unafumba macho... Sekunde kadhaa ukifungua umeshafika.. Hii inaitwa serve all purpose.. Mwendokasi wake ni zaidi ya supersonic speed... Kwa usafiri huo kama ni sayansi ingetumia mlolongo mrefu wa kutengeneza ndege magari na vyombo vya majini.. Na ingechukua muda na taratibu nyingi...

Mfano wa tatu.... Kuingia ndani kwa mtu... Kupitia pembe ya nyumba ama chumba chako... Mchawi ana uwezo wa kuingia na kukufanya chochote atakacho na akaondoka salama ukiwa wala hujui ulichifanyiwa.. Utastuka akishaondoka... (Usiwaze popobawa) sayansi haina uwezo huo... Wamejaribu wameshindwa..

Mfano wa NNE fumanizi la kunasiana... Ama kunasishwa mziho au kitu ulichoiba... Hii magnetism theory bado sana sayansi kufika huku....
Sayansi ina limitations nyingi kuliko uchawi.. Sayansi ni ubunifu wa kibinadamu kukopi nguvu asili zisizoonekana lakini zinafanya kazi na matokeo yanaonekana... Inapoishia sayansi ndipo uchawi unapoanzia.. Na kwakuwa sayansi ndio inaiga na kuhawilisha hivyo kamwe haiwezi kutenda kama halisi.....

Tofauti kubwa iliyopo kati ya SAYANSI na UCHAWI ni ITHIBATI... sayansi ina ithibati japo si kwa aslimia miamoja... Uchawi hauna ITHIBATI lakini matokeo yake ni asilimia mia moja.... Sababu ni moja tu... Uchawi una asili ya ulimwengu wa roho... Na ulimwengu wa roho ndio ulianza kabla ya ulimwengu wa macho ulimwengu wa sayansi....
Kiumbaji binadamu ndio kiumbe wa mwisho kuumbwa hivyo hata awe mjuzi na mbunifu Kiasi gani hataweza kufanya kitu kwa mafanikio ya asilimia mia moja bila kugusa ulimwengu wa roho... Ukisoma The mason doctrine utanielewa vema....

Asubuhi njema!

Uchawi ni nini ?
 
Back
Top Bottom