Unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia

Unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia

Tatizo hiyo sayansi ya rohoni ina mahusiano ya moja kwa moja na majini ambayo ni roho pia sasa ni bora tukomae na sayansi yetu hii ya mwilini ambayo ni proved na kila mtu anaweza kuona
Ukinijibu hili utakuwa umefaulu kwenye nadharia yako ya SAYANSI
Ninini kinasababisha mawasiliano yetu hapa jukwaani?
Je ni simujanja?
Je ni mtandao wa simu?
Je ni app ya JF ama browser?
Je ni bundle?
Je ni software? (Uchawi)
Je ni ID yako?
 
Uchawi unaweza kuitafsiri sayansi na kuleta matokeo tarajiwa lakini sayansi haina huo uwezo... Sayansi inafika mahali ili kuweza kupata matokeo tarajiwa inahitaji ignition ya uchawi kwa maana ya nishati isiyoonekana
Mh!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Tuanzie na zongo kule Tanga, hii ni aina ya uchawi unaokaa kwenye macho..... Mwenye hili fataki la zongo akikuangalia tu tayari transmission inakuwa imefanyika... Ni mfumo fulani wa wireless communications... Nusu saa kubwa utaanza kuumwa tumbo na kuharisha sana! Tiba yake ni nini? Unga fulani imekaa kama magadi unaitwa MAKATA... ukishakunywa hiyo dakika kumi nyingi umeshapona! SAYANSI hapa ingefanya nini? Ingetumia mlolongo mrefu wa kutengeneza bacteria wenye virus wa ugonjwa wa kuhara... Ingetafutwa njia na kumwambukiza mtu hao virus kisha aanze kuumwa... N baada ya hapo ungeanza mchakato wa matibabu.... Uchawi hauna longolongo zote hizo ni hit n run... Finish.... Na infant wireless transmission theory ni copy n paste toka kwenye uchawi

Mfano wa pili kupaa angani ama kusafiri..
Mchawi ana njia tatu rahisi sana
1.kwa kutumia kifaa kama ungo, fimbo ama ungo. Usafiri wa angani
2. Kutumia mnyama kama fisi nk.. Usafiri wa nchi kavu.
3. Kutumia wireless transmission.. Unajiandaa kisha unafumba macho... Sekunde kadhaa ukifungua umeshafika.. Hii inaitwa serve all purpose.. Mwendokasi wake ni zaidi ya supersonic speed... Kwa usafiri huo kama ni sayansi ingetumia mlolongo mrefu wa kutengeneza ndege magari na vyombo vya majini.. Na ingechukua muda na taratibu nyingi...

Mfano wa tatu.... Kuingia ndani kwa mtu... Kupitia pembe ya nyumba ama chumba chako... Mchawi ana uwezo wa kuingia na kukufanya chochote atakacho na akaondoka salama ukiwa wala hujui ulichifanyiwa.. Utastuka akishaondoka... (Usiwaze popobawa) sayansi haina uwezo huo... Wamejaribu wameshindwa..

Mfano wa NNE fumanizi la kunasiana... Ama kunasishwa mziho au kitu ulichoiba... Hii magnetism theory bado sana sayansi kufika huku....
Sayansi ina limitations nyingi kuliko uchawi.. Sayansi ni ubunifu wa kibinadamu kukopi nguvu asili zisizoonekana lakini zinafanya kazi na matokeo yanaonekana... Inapoishia sayansi ndipo uchawi unapoanzia.. Na kwakuwa sayansi ndio inaiga na kuhawilisha hivyo kamwe haiwezi kutenda kama halisi.....

Tofauti kubwa iliyopo kati ya SAYANSI na UCHAWI ni ITHIBATI... sayansi ina ithibati japo si kwa aslimia miamoja... Uchawi hauna ITHIBATI lakini matokeo yake ni asilimia mia moja.... Sababu ni moja tu... Uchawi una asili ya ulimwengu wa roho... Na ulimwengu wa roho ndio ulianza kabla ya ulimwengu wa macho ulimwengu wa sayansi....
Kiumbaji binadamu ndio kiumbe wa mwisho kuumbwa hivyo hata awe mjuzi na mbunifu Kiasi gani hataweza kufanya kitu kwa mafanikio ya asilimia mia moja bila kugusa ulimwengu wa roho... Ukisoma The mason doctrine utanielewa vema....

Asubuhi njema!
bila kusahau hapa napo kuna mambo mazito balaa....
IMG_20180801_091014.jpg
 
Naomba kujua kwann hawa wataalamu asilia wenye ujuzi hata kuliko sayansi wanashindwa kuingia benki na kuchukua fedha za kutosha halafu wakatoweka? Au kwann wanashindwa kufanya watoto wao kuwa TANZANIA ONE kwa kuamisha mitihani kutoka necta na kuwakabidhi wasolve kabla ya paper?

Bado nawaza kuna nn katikati!!
Tufumbuane macho kuhusu security systems za hizi tahasisi!!
 
usiifananishe sayansi na vitu vyakijingakijinga.. huo uchawi utaishia hukohuko kwa wachawi hasa hii afrika yetu huo uchawi haujasaidia chochote zaidi ya kuimarisha umaskini,ndo yaleyale ya vita vya majimaji mababu zetu walikufa kama samaki nyavuni mbele ya chuma cha mzungu!

madini kuchimba mpk mitambo ya mzungu ingieni huko chini mlete dhahabu walau mtajirike kazi kuroga nitakuwa sijakosea kusema uchawi ni UJINGA maana kama unauwa albino ili upate mali kwanini usitumie uchawi huo kwenda kuiba hela benki ukatajirika kuliko kutoa uhai wa mwenzio!.
 
Back
Top Bottom