enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Mkuu hizi nondo huwa unazipikia kiwanda gani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
things work in oposite the way unavyojua wewe...unachotegemea kiwe ndo mana hakitokei kwa sababu unachotegemea kitokee ni illusion na kwa sababu unakuwa umeshakalili iwe hivyo but reality haiko hivo...the way how reality works is quite different from what you expect.....Naomba kujua kwann hawa wataalamu asilia wenye ujuzi hata kuliko sayansi wanashindwa kuingia benki na kuchukua fedha za kutosha halafu wakatoweka? Au kwann wanashindwa kufanya watoto wao kuwa TANZANIA ONE kwa kuamisha mitihani kutoka necta na kuwakabidhi wasolve kabla ya paper??
Bado nawaza kuna nn katikati!!
Tufumbuane macho kuhusu security systems za hizi tahasisi!!
[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] nimelewa kichwa changu butu kweli kwelithings work in oposite the way unavyojua wewe...unachotegemea kiwe ndo mana hakitokei kwa sababu unachotegemea kitokee ni illusion na kwa sababu unakuwa umeshakalili iwe hivyo but reality haiko hivo...the way how reality work is quite different from what you expect.....mtu kujua how to use laws zinazogovern life haimanishi aanze kuzitumia bila specific purpose....every knowledge is used to serve a specific purpose ....kuna baadhi ya juzi zinakulimit sehemu flani...sio kila kitu utakuwa unakifanya ..tena ukizidi kipimo ulimwengu uliokuruhusu unakupoteza katika dimension nyingine kabsaaa...lazima ufahamu kuwa in there are so many dimensions ambazo zinashikilia uhai wa viumbe wote ulimwenguni..ukimwengu unaoonekana upo level flani ya dimension reality...sisi tunaonan kwa sababu tunaoccupy the same dimension ..occular alteration ipo katika dimension...ukiwa mchawi manake umejua ujuzi wa kuingia katika dimension mbili au tatu tofauti depending na level ya uchawi ulionao..kwa hiyo the more unavyojua how to cross the boundaries katika reality ndivyo unakuwa na uwezo wa kusynchronize with the other world pia...kuna world nying ndani ya universe moja but with different level of dimension...the forces that open up the gate way ya kuingia other world ina mipaka yake make ukikosea tu mashart ya kutumia nguvu hizo basi inakupeleka into other dimension of other form of reality mpaka pale watakapokurudisha wajuzi wa mambo....kuna mzee mmoja alikuwa mchawi sana kijijin kwetu ila aliwahi kupotea mazingira ya kutatanisha yani alikuja kuonekkana badae sana ..me nahis kuna kikomo cha kujua hayo mambo ila ukitaka kujua zaidi sharti ujifunze kwanza how to control your awaken power before you start using them,usikurupuke kujua namna ya kutumia nguvu zilizojificha ambazo chimboko lake ni from the hidden dimension in this universe bila kujua how to control those powers...the more unavyozid kuassend into power ndivyo unavopaswa kujua limitations za powee hizo ila wapo watu waliofanikiwa kujua limitation ya kila nguvu na hao ndo wenye dunia hii,sisi wengine tupo tu kusubiri jua litachomoza asubuh na kuzama jion ila wapo wanaojua namna mambo yote yanavyotekea before,after and within the midst of the action ya kila kitu....ifahamike kwamba kujua uchawi sio dhambi ila ni kujua namna ya kuutumia,we avoid to know that thing kwa sababu hatuna hekima ya kujua faida yake...laiti tungelitambua how important it is ,we couldnt be proclaiming to God kwamba atusaidie ,everything is clear in this universe,science and technology are ones of the manipulation of unseen forces that work in the hidden form but now are put into physical reality but in the hidden world things work under supersonic speed with maximum efficient than in scientific way....hata quantum technology inalitambua hilo...kuna watu wanarisk maisha kugeuza hidden forces kuoperate in physical reality..every inversion ya technology unayoishuhudia nyuma yake kuna watu wamerisk maisha kuchange mode ya operation.....sometimes the truth of realitu is synchronized with the risk,so nothing is simple as you think....
Kwanza kwa taarifa yako benki zinaibiwa sana ila kwakuwa kunakuwa hakuna palipovunjwa watasemaje wameibiwa?Naomba kujua kwann hawa wataalamu asilia wenye ujuzi hata kuliko sayansi wanashindwa kuingia benki na kuchukua fedha za kutosha halafu wakatoweka? Au kwann wanashindwa kufanya watoto wao kuwa TANZANIA ONE kwa kuamisha mitihani kutoka necta na kuwakabidhi wasolve kabla ya paper??
Bado nawaza kuna nn katikati!!
Tufumbuane macho kuhusu security systems za hizi tahasisi!!
Hapa ndipo elimu juu ya uchawi inapopotoshwa kwa kuangalia matukio machache ya kipuuzi yanayochukuliwa na wengine bila tafakuri kuwa huo ndio uchawi wenyeweusiifananishe sayansi na vitu vyakijingakijinga.. huo uchawi utaishia hukohuko kwa wachawi hasa hii afrika yetu huo uchawi haujasaidia chochote zaidi ya kuimarisha umaskini,ndo yaleyale ya vita vya majimaji mababu zetu walikufa kama samaki nyavuni mbele ya chuma cha mzungu!.. madini kuchimba mpk mitambo ya mzungu ingieni huko chini mlete dhahabu walau mtajirike kazi kuroga nitakuwa sijakosea kusema uchawi ni UJINGA maana kama unauwa albino ili upate mali kwanini usitumie uchawi huo kwenda kuiba hela benki ukatajirika kuliko kutoa uhai wa mwenzio!.
A very big salute [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji122] [emoji144] [emoji144]nondo imebeba madini mpaka inatisha... Nimejikuta nakuwa mwanafunzi niliyeongeza maarifa mapya[emoji122] [emoji120] [emoji122] [emoji120] [emoji115]things work in oposite the way unavyojua wewe...unachotegemea kiwe ndo mana hakitokei kwa sababu unachotegemea kitokee ni illusion na kwa sababu unakuwa umeshakalili iwe hivyo but reality haiko hivo...the way how reality work is quite different from what you expect.....mtu kujua how to use laws zinazogovern life haimanishi aanze kuzitumia bila specific purpose....every knowledge is used to serve a specific purpose ....kuna baadhi ya juzi zinakulimit sehemu flani...sio kila kitu utakuwa unakifanya ..tena ukizidi kipimo ulimwengu uliokuruhusu unakupoteza katika dimension nyingine kabsaaa...lazima ufahamu kuwa in there are so many dimensions ambazo zinashikilia uhai wa viumbe wote ulimwenguni..ukimwengu unaoonekana upo level flani ya dimension reality...sisi tunaonan kwa sababu tunaoccupy the same dimension ..occular alteration ipo katika dimension...ukiwa mchawi manake umejua ujuzi wa kuingia katika dimension mbili au tatu tofauti depending na level ya uchawi ulionao..kwa hiyo the more unavyojua how to cross the boundaries katika reality ndivyo unakuwa na uwezo wa kusynchronize with the other world pia...kuna world nying ndani ya universe moja but with different level of dimension...the forces that open up the gate way ya kuingia other world ina mipaka yake make ukikosea tu mashart ya kutumia nguvu hizo basi inakupeleka into other dimension of other form of reality mpaka pale watakapokurudisha wajuzi wa mambo....kuna mzee mmoja alikuwa mchawi sana kijijin kwetu ila aliwahi kupotea mazingira ya kutatanisha yani alikuja kuonekkana badae sana ..me nahis kuna kikomo cha kujua hayo mambo ila ukitaka kujua zaidi sharti ujifunze kwanza how to control your awaken power before you start using them,usikurupuke kujua namna ya kutumia nguvu zilizojificha ambazo chimbuko lake ni from the hidden dimension in this universe bila kujua how to control those powers...the more unavyozid kuassend into power ndivyo unavopaswa kujua limitations za power hizo ila wapo watu waliofanikiwa kujua limitations na misingi ya kucontrol ujuzi huo na most of white people know much how to use the unseen forces lakini wanatublackmind sisi waafrica tuache hiyo mambo but they are the ones who know more how to play with entangled issues za kila nguvu na hao ndo wenye dunia hii,sisi wengine tupo tu kusubiri jua litachomoza asubuh na kuzama jion ila wapo wanaojua namna mambo yote yanavyotekea before,after and within the midst of the action ya kila kitu....ifahamike kwamba kujua uchawi sio dhambi ila ni kujua namna ya kuutumia,we avoid to know that thing kwa sababu hatuna hekima ya kujua faida yake...laiti tungelitambua how important it is ,we couldnt be proclaiming to God kwamba atusaidie ,everything is clear in this universe,science and technology are ones of the manipulation of unseen forces that work in the hidden form but now are put into physical reality but also in the hidden world things work under supersonic speed with maximum efficiency than in scientific way....hata quantum technology inalitambua hilo...kuna watu wanarisk maisha kugeuza hidden forces kuoperate in physical reality..every inversion ya technology unayoishuhudia nyuma yake kuna watu wamerisk maisha kuchange mode ya operation.....sometimes the truth of realitt is synchronized with the risk,so nothing is simple as you think....
Mkuu; Thithi hatujambo. Elimu hii imepewa jina baya i.e. UCHAWI halafu kwa kuwa haieleweki, haifahamiki vizuri na haiko wazi ; basi kila ovu lisilofahamika linaelekezwa kwenye hii elimu kwamba ndio inahusika. Mimi ningeshauri kwamba wenye elimu hii wasaidie kufichua maovu hususan pale tuhuma za Uovu uliotendeka zinapoelekezwa kwao.Tuanzie na zongo kule Tanga, hii ni aina ya uchawi unaokaa kwenye macho..... Mwenye hili fataki la zongo akikuangalia tu tayari transmission inakuwa imefanyika... Ni mfumo fulani wa wireless communications... Nusu saa kubwa utaanza kuumwa tumbo na kuharisha sana! Tiba yake ni nini? Unga fulani imekaa kama magadi unaitwa MAKATA... ukishakunywa hiyo dakika kumi nyingi umeshapona! SAYANSI hapa ingefanya nini? Ingetumia mlolongo mrefu wa kutengeneza bacteria wenye virus wa ugonjwa wa kuhara... Ingetafutwa njia na kumwambukiza mtu hao virus kisha aanze kuumwa... N baada ya hapo ungeanza mchakato wa matibabu.... Uchawi hauna longolongo zote hizo ni hit n run... Finish.... Na infant wireless transmission theory ni copy n paste toka kwenye uchawi
Mfano wa pili kupaa angani ama kusafiri..
Mchawi ana njia tatu rahisi sana
1.kwa kutumia kifaa kama ungo, fimbo ama ungo. Usafiri wa angani
2. Kutumia mnyama kama fisi nk.. Usafiri wa nchi kavu.
3. Kutumia wireless transmission.. Unajiandaa kisha unafumba macho... Sekunde kadhaa ukifungua umeshafika.. Hii inaitwa serve all purpose.. Mwendokasi wake ni zaidi ya supersonic speed... Kwa usafiri huo kama ni sayansi ingetumia mlolongo mrefu wa kutengeneza ndege magari na vyombo vya majini.. Na ingechukua muda na taratibu nyingi...
Mfano wa tatu.... Kuingia ndani kwa mtu... Kupitia pembe ya nyumba ama chumba chako... Mchawi ana uwezo wa kuingia na kukufanya chochote atakacho na akaondoka salama ukiwa wala hujui ulichifanyiwa.. Utastuka akishaondoka... (Usiwaze popobawa) sayansi haina uwezo huo... Wamejaribu wameshindwa..
Mfano wa NNE fumanizi la kunasiana... Ama kunasishwa mziho au kitu ulichoiba... Hii magnetism theory bado sana sayansi kufika huku....
Sayansi ina limitations nyingi kuliko uchawi.. Sayansi ni ubunifu wa kibinadamu kukopi nguvu asili zisizoonekana lakini zinafanya kazi na matokeo yanaonekana... Inapoishia sayansi ndipo uchawi unapoanzia.. Na kwakuwa sayansi ndio inaiga na kuhawilisha hivyo kamwe haiwezi kutenda kama halisi.....
Tofauti kubwa iliyopo kati ya SAYANSI na UCHAWI ni ITHIBATI... sayansi ina ithibati japo si kwa aslimia miamoja... Uchawi hauna ITHIBATI lakini matokeo yake ni asilimia mia moja.... Sababu ni moja tu... Uchawi una asili ya ulimwengu wa roho... Na ulimwengu wa roho ndio ulianza kabla ya ulimwengu wa macho ulimwengu wa sayansi....
Kiumbaji binadamu ndio kiumbe wa mwisho kuumbwa hivyo hata awe mjuzi na mbunifu Kiasi gani hataweza kufanya kitu kwa mafanikio ya asilimia mia moja bila kugusa ulimwengu wa roho... Ukisoma The mason doctrine utanielewa vema....
Asubuhi njema!
Lala kifudifudi
Ahahah kwanini hapo kwenye software umefungia mabano uchawi? Unataka kusema nini hapo?Ukinijibu hili utakuwa umefaulu kwenye nadharia yako ya SAYANSI
Ninini kinasababisha mawasiliano yetu hapa jukwaani?
Je ni simujanja?
Je ni mtandao wa simu?
Je ni app ya JF ama browser?
Je ni bundle?
Je ni software? (Uchawi)
Je ni ID yako?
Kuna ombwe kubwa la kiufahamu na upotoshaji wa kutosha kuhusu hii elimu... Na hata sisi wengine tunapojaribu kuidadavua tunaishia kupewa majina mabayaMkuu; Thithi hatujambo. Elimu hii imepewa jina baya i.e. UCHAWI halafu kwa kuwa haieleweki, haifahamiki vizuri na haiko wazi ; basi kila ovu lisilofahamika linaelekezwa kwenye hii elimu kwamba ndio inahusika. Mimi ningeshauri kwamba wenye elimu hii wasaidie kufichua maovu hususan pale tuhuma za Uovu uliotendeka zinapoelekezwa kwao. Wanapokaa kimya maana yake ni "Silence means consent" yaani wanakubali kwamba wamehusika. Shida inakuja kwenye uthibitisho ili sheria ichukue mkondo wake.
Sayansi ya kiza ama ya roho isiyo na ithibati za kuthibitisha katika ulimwengu wa mwili