safi mkuu ila kwa kukazia tu watu waelewe kwamba si kuiamini tu damu ya Yesu Kristo kwa kuikiri vinywani mwao bali ni lazima waiishi; wawe wasafi wa kiroho na kimwii hii ni muhimu sana, Pamoja na kuzishika amri kumi za Mungu, wamtumikie yeye peke yake tu.Wachawi hufanya mambo kinyume
.. Huingia uchi
.. Huingia kinyumenyume
.. Huingilia kwenye pembe za nyumba hasa kushoto
Mchawi hapatani na vitu vyenye ugwadu na harufu kali kwahiyo ukiwa na ndimu kitunguu saumu na chumvi ni kinga tosha kabisa.... Kwa wale waamini na waaminio kinga na tumaini lao kubwa pamoja na hayo mengine yote ni Yesu Kristo kupitia damu yake takatifu
Vinginevyo nguvu ya uchawi haiwezi kukuacha salama.